Inakuwaje Mambo haya??

Lizzy umesema kweli loh yaani kuna wakati nilikuwa ninafikiria hayo kuwa hapana huyu nitamwonyesha kuwa nina uwezo wa kumrudisha kwenye himaya yangu loh...........I tried weeeee but where (wanajisemea watoto wa mjini!!) ila ajabu nilipoamua kukata tamaa ndo naye akazinduka usingizini loh lakini nilishajichukia kwa upuuzi wote nloufanya kumuwin back......miaka imekwenda na uzee umekomaa eti bado ananikumbuka na kukumbuka penzi langu jamani!! .........sasa sijui ni penzi lipi lile la mwamzo au lile la ziada.

cjui wanakuagaje? wanajaribisha hukooo pakiwashinda wanakumbuka walikotoka, wengi wao huwa wamechelewa sana sana...mie niliumia sana yaani ni mtu niliempenda kwa mapenzi yangu yote, nilijua ctakuja kupenda/kupendwa tena, niliona hakuna zaidi yake, cku aliyoniambia tuishie hapa, nilijikaza kiume nikasonga na safari na kupata alienionyesha dunia ya mapenzi ilivyo, nilipenda/nikapendwa....ndio leo anahaha kwamba ningekuwa mke wake, cjui mke mwema.... cjui nn na nn jamani jamani, tujifunze kuukubali ukweli.
 
Huko ndo kunaitwa kujidanganya!!!
Utamfanya mtu akupende kwa lazima???Hilo haliwezekani!!Kinachotokeaga ni kwamba mtu anaamua ngoja tu niwe nae....siku akikutana na atakaempenda yeye bila ushawishi ndo unashangaa unaachwa kama vili hukuwahi kuwepo!

hili lilinitokea mie, nilipenda nicpopendwa, niliachwa njia panda bila kujijua, swali la kujiuliza ni kwamba unakubali matokeo lakini huyo huyo kwassa ndio msumbufu na lawma kibao lakini yeye ndio alikutosa, maisha haya...
 
Kupenda....
Wondering kama kupenda ni uamuzi au ukichaa tu...!
 
sana RR nafikiri ni kujitia wendawazimu tu natafuta darasa la kutopenda maisha nafikiri ndo linafaa kwakweli.

Kupenda....
Wondering kama kupenda ni uamuzi au ukichaa tu...!
 
sana RR nafikiri ni kujitia wendawazimu tu natafuta darasa la kutopenda maisha nafikiri ndo linafaa kwakweli.

Badala ya mapendo kuleta faraja na amani ya nafsi....imekua kinyume chake.....perhaps u r damn right....we should learn how to use our brains in a better way....
 
hakuna heshima na badala yake unaishia kuwa abused kila sehemu,sometimes we turn blind eyes kwenye mambo ambayo yanaonekana.ile unapompenda mtu unafanya hata makosa kuwa sio makosa ndo huwa yanatucost mwisho wa siku.

Badala ya mapendo kuleta faraja na amani ya nafsi....imekua kinyume chake.....perhaps u r damn right....we should learn how to use our brains in a better way....
 
hili lilinitokea mie, nilipendwa nicpopenda, niliachwa njia panda bila kujijua, swali la kujiuliza ni kwamba unakubali matokeo lakini huyo huyo kwassa ndio msumbufu na lawma kibao lakini yeye ndio alikutosa, maisha haya...

Hao ni wale either hawajui wanachokitaka...au kuwaonyesha kwako unawapenda wanachukulia kama udhaifu..yani huwezi kwenda popote.Kwahiyo wanamisuse hisia zako bila kujua kuna uwezekano wa wewe kupoteza hisia hizo!
 
halafu hizi hisia zikipotea zinapotea ki kweli kweli, nafikiaga kujiuliza nilikuwa nasumbukia nn mie, najilaumu kuruhusu moyo wanhu kuvunjika vunjika vipande wakati ule lakini yote maisha...maisha haya hutakiwi kukataa tamaa kwa lolote zaidi ni kujipa moyo na kusonga na maisha kuna mazuri mbeleni Mungu amekuandalia.
 
hakuna heshima na badala yake unaishia kuwa abused kila sehemu,sometimes we turn blind eyes kwenye mambo ambayo yanaonekana.ile unapompenda mtu unafanya hata makosa kuwa sio makosa ndo huwa yanatucost mwisho wa siku.

unarekebishwa/shauriwa haushauriki, ndio kwanza unawaona wabaya..mie yangu naonaga ilini cost kuliko maelezo aisee, yaani nilisema ctakaa nipende daima lakini alitokea wa kunifariji nikaona kumbe naweza kupenda tena but ilimchukua muda kunirudisha kweli uhalisia kwamba bado kuna mtu ananipenda/nijali/nithamini...kweli ukisema cha nn mwnzio anasema atakipata lini....
 
Ukome kufungia akili zako kabatini kisa umependa.......
Mzima nikupendae daima?
 
Ukome kufungia akili zako kabatini kisa umependa.......
Mzima nikupendae daima?

ukweli m2pu, nilikuwa nachota kdogo za ku2mia cku hiyo bahati mbaya yangu zikaniishia njiani ndio nikajifunza kubeba zote sasa...nikupendae daima huwezi kujua kwasasa nashukurije hakuwa mwekezaji wa maisha yangu, ningekuwa nakuja hapa na vilio mia kdgo kwa cku, lijamaa limeshaoa mara mbili ndoa zimemshinda madai yake mie ndio alioandikiwa niwe mama mtoto wake...pweehh..nikupendae daima mie mzima wa afya njema kuna thread mbili zimeni touch leo, hii na nyingine kule...yaani zimenitibua kabisa....
 
Back
Top Bottom