Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,968
It always happens no mata hali ya siku hizi yaani ni kama ndoa ndoano ila watu wanazidi kupenda kuingia na wao waone wenyewe. na katika mapenzi watu wanathubutu kusema hawawezi kuwa hivo ila wanajikuta wameingia kwenye uhusiano wa aina hiyohiyo bila kujijuaThey say "Love is blind" lakini usemi huu kwa hali halisi ya siku hizi sikubaliani nao kabisa sababu kila kitu siku hizi u get to know sooner than later watu siku hizi wamekosa uvumilivu na kuanza kusingizia vitu chungu nzima