Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Labda ndio kafara, ametolewa kafara na binti yake biashara zinoge
Juzi kati nilikuwa naangalia TV niliona huyo mzee wa kitambaa cheupe King kikii anahojiwa na Chacha Maginga yupo kwenye wheelchair nyumban kwake he is serious ill kwa kweli. Na alikuwa anaomba msaada kwa watanzania wamsaidie.
 
Huyo jesca mtoto wa king kiki sijui anatumia uchawi wa wapi? pale tabata majitu yanakosa nafasi yanakaa kwenye gari yanalilia wahudumu wawapelekee beer hukohuko wakati ukisogea the great pale hakuna wateja kabisa

nahisi back up kubwa yake ni mashoga ukweli ni kwamba siku hizi mashoga yana soko kubwa sana wadau wengi wanayafata
Noma sana!
 
Sababu bongo tunaamini ukilewa au kunywa bia nyingi ndio starehe imeshika mahali pake. Hatuna vyanzo vingi vya kufurahia
Nimekuelewa sana. Wabongo wana huu ushamba

Huwezi kuta Mbongo above 35 anakuambia starehe yake ni Rally, walking in new places, Tourism, Playing golf, Tennis, Swimming etc

Kunywa bia/pombe nyingi ndio starehe kuu pekee ya Wabongo
 
Kila mmoja anastarehe yake(leasure)as long as nafsi yako imekunjuka na kussuzika umemwagilia moyo taka zote zimetoka..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom