Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Na kuna mangi mmja ana kiduka pemben ya kitambaa cheupe anauza naye balaa
Anapima konyag, kvant, anauza double kick yaani vurugu tu
Anatembelea nyota ya kitambaa cheupe

Ova
Hizi anazo ?
IMG_20220320_230955.jpg
 
Huyo jesca mtoto wa king kiki sijui anatumia uchawi wa wapi? pale tabata majitu yanakosa nafasi yanakaa kwenye gari yanalilia wahudumu wawapelekee beer hukohuko wakati ukisogea the great pale hakuna wateja kabisa

nahisi back up kubwa yake ni mashoga ukweli ni kwamba siku hizi mashoga yana soko kubwa sana wadau wengi wanayafata
Dunia inaenda kasi sana..yani watu wameacha mitako wamehamia kwenye mashago..inamaana mashago sasahivi ndio kivutio cha wateja baa.

#MaendeleoHayanaChama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom