Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,239
Unalitongozaje Sasa. Mm Hata Salama Yao sitaki Kumamae WallahWe jamaa nyamaza huyajui mashangazi yalivyo matamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalitongozaje Sasa. Mm Hata Salama Yao sitaki Kumamae WallahWe jamaa nyamaza huyajui mashangazi yalivyo matamu
Tafuta pesa wewe boyanafahamu mkuu,lakini ninaomba kujua kam kuna sehemu bado zipo zinazobamba kwa mjini.
Ofa ya Savanna 3 tu unang'oa mzigo
Ukiwa na pesa, sehemu Zote zinazobamba HApa Mjini utazijua Tunafahamu mkuu,lakini ninaomba kujua kam kuna sehemu bado zipo zinazobamba kwa mjini.
Hajawaka yule?Hyo Cha mtoto nenda Kitambaa Waiti Ya Tabata(Zamani maeda bar) utafurahi na Roho Yako.
.
Mmiliki anaitwa Jane Kikumbi, Mkinga Mmoja pisi Kali mnoo Ila bahati Mbaya amefunga Ndoa Mwaka Jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu na Malipo Magetoni Inakuwaje? Au hizo Savana zinafeet Kila Idara wa kwetuOfa ya Savanna 3 tu unang'oa mzigo
picha tuone mnavyokanyagana
Mzee unaiongelea Calabash ya wapi tena?Calabash, 5N, Catalunya, Mawasiliano park pameshadoda
Nimeishiwa pozi lohpicha tuone mnavyokanyagana
Jesy Kwani Kaanzia Hapo Leo, mbna kitambaa Ilkuwa kule na Watu wakawa wanajaa pia.Huyo jesca mtoto wa king kiki sijui anatumia uchawi wa wapi? pale tabata majitu yanakosa nafasi yanakaa kwenye gari yanalilia wahudumu wawapelekee beer hukohuko wakati ukisogea the great pale hakuna wateja kabisa
nahisi back up kubwa yake ni mashoga ukweli ni kwamba siku hizi mashoga yana soko kubwa sana wadau wengi wanayafata
Muda wetu wa ziada ni for Leisure and Complaining
Upepo tu huo utapitaYaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
BIASHARA YA POMBE NI BIASHARA YA URAFIKI HAITAKI MKONO WA BIRIKA PIA NI ADUI WA AKILI ZA KIMASIKINI /Huyo jesca mtoto wa king kiki sijui anatumia uchawi wa wapi? pale tabata majitu yanakosa nafasi yanakaa kwenye gari yanalilia wahudumu wawapelekee beer hukohuko wakati ukisogea the great pale hakuna wateja kabisa
nahisi back up kubwa yake ni mashoga ukweli ni kwamba siku hizi mashoga yana soko kubwa sana wadau wengi wanayafata
Tipsy watu walikuwa wanasukumizana sahv wametuliaCalabash, 5N, Catalunya, Mawasiliano park pameshadoda
Yah usumbufu mwingi, watoto wengiHuwa sipendi sehemu mnaenda mnabanana utafikiri bia mnapewa bure.
Hilo ndy jibu sahihiMuda mwingine ni ulimbukeni tu wa chimbo jipya au chimbo linalovuma. Mbona hao ma-anti wapo kila sehemu, kila aina na kila bei unayotaka!