Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Za asubuhi.

Inakuaje mwanamke unakuwa busy kupekua simu ya mumeo na kuanza kusoma message kuanzia jamiiforum ,fb hadi normal text.

Wakuu niko na mwanamke ninayeishi naye sijamuoa Ila treatment anazonifanyia ninaweza nikafanya awe singo mama.

Nimemkataza kutoshika simu yangu lakini aelewi zaidi ya kugombana kila siku.

Ananuna muda wote.

Hamuwezi mkakaa mkafurahi kama wanavyofanya wanafamilia wengine.

Ana Gubu.
Usijitafutie kufa mapema.. Fanya maamuzi magumu sasa
 
Kuna siku nilimpa mtu bana namba yangu. Hakuwa na lengo la kunitongoza ni baba wa mwanafunzi wangu. Nikajua ni mtu mzima anajitambua.

Hee si akanipigia simu saa 4 usiku[emoji23][emoji23][emoji23]. Namba ni ngeni nikapokea nikajua ni yeye nikaikatia sikioni. Maana baby angeniuliza hata kama ni mambo ya shule ndio mida hii?

Mara akapiga tena nitafanyaje nikapokea eti linaniuliza “sasa mbona unakata simu tena” . Sasa nikajiuliza kama amegundua nimekata simu kwanini arudie kupiga. Nilitamani nimtukane. Nikamwambia nakusikiliza eti “umeshalala nini au nimepiga muda mbaya”?

Huo ugomvi alioniachia yule ndio nilijifunza tokea hiyo siku.
Sasa watu wazima si tunafanya mambo kiutu uzima na wewe😀! Hilo zee ulitaka ulidange sema limeharibu lenyewe
 
Simu zina data - mfano ni number ya mteja, jina lake, mawasilino yake kwa njia ya text, whatsap, email etc- yote hayo yamo kwenye simu na ndio maana ina password. Yeye anenda kutafuta nini humo mpaka kutaka ku- access simu ya mwenza wake bila kibari chake... kujua password ya ATM haimaniishi kwamba ndio utaenda kuzikomba hela zote kwenye cash machine. Simu ni legal device ambayo ina mambo mengi sana- na hivyo an unathorised access yaweza mpeleka mtu jela kimasiala. haya ni mambo ya data protection na hata kama uko kwenye ndoa, usiyachukulie kirahisi namna hiyo... na huyo anayetaka kuchungulia data za mwenza wake- atakutana na nini ambacho hakihusiani na yeye? je ana authority ya kuchungulia au kudukua? haya mambo si ya juu juu ndugu yangu.
Dah. Mkuu, naona simu yako ina mambo mengi. Halafu nilichogundua unamchukulia wife wako kama housegirl flani hivi. Mkeo anayezijua siri zako ukiwa uchi, ukamuwekee siri namba ya mteja asiyemfahamu? Anyway, deal with your burden
 
Dah. Mkuu, naona simu yako ina mambo mengi. Halafu nilichogundua unamchukulia wife wako kama housegirl flani hivi. Mkeo anayezijua siri zako ukiwa uchi, ukamuwekee siri namba ya mteja asiyemfahamu? Anyway, deal with your burden
Mke wangu ni mke wangu na yeye ana profession yake inayohitaji data protection. Akiivunja data protection ni jela si chini ya miaka 5 kwa nchi hapa tulipo. Sijui ni kwa nini hili jambo la data protection wengi munalichukulia kirahisi na poa Kwa mfano, breaches of personal date breach (kwa nchi kama UK - Commonwealth) must be reported to authorities within 72 hours : Personal data breaches

Data breaches haina uhusiano na nani kavua chupi au ana mkunyenge mrefu wala kujua kichuma mboga style.

Failure to report data breach for companies kwa mfano- soma hapa ujue wenzetu wanafanyaje, sio mambo ya gf na bf, hayo ni mambo ya chumbani: Failing to notify a breach when required to do so can result in a significant fine up to £8.7m or 2 per cent of your global turnover.

Halafu wewe unasema ni mkeo lazima ajue siri za mteja wako... uta-deal na burden yako... akili zako changanya na za kuambiwa siku ukifika nchi za watu. Katika mambo ya kazi hakuna mume wala mke, hata company ina legal personality when it comes to collecting, storing, processing and accessing data. Usipo handle hizo data vizuri na zikaangukia kwa mtu ambaye hahusiki kuzijua, hiyo faini ya £ 8.7 Million inakuhusu. Sasa ona wenzetu walivyo serious na mambo ya data. Huwezi mwambia padri awawe taarifa za nini umwemwambia ktk chumba cha maungamo... na hata akipewa mtutu wa bunduki - padri hasemi- hii ndio seriousness inayohitajika katika ku- handle PII- Personal identifiable information. Sio kumwachia wife au mchepo aangalie kilicho kwenye simu- haikubariki. Usije sema hukujua umuhimu wa collecting, storing, processing and accessing data, au labda ni ligi tu kunogesha maoni humu JF. Binafsi nalipwa kwa kuangalia ni wapi data breach imefanyika ili coorporate clients walipe. Ndio kazi yangu humu Duniani inayonipa mkate wa kila siku kwa zaidi ya miaka 20 sasa.
 
Hizo gubu na ugomvi siwezi ingilia, ana paswa kubadilika

Ila suala la kushikiana simu fresh tu, ukiona anakuchunguza ujue ana mashaka, akichunguza asipokuta kitu atakuwa mpole tu..

We kwanini hutaki simu yako isishikwe, ina nini?
Una machafu yako play smart,uwe unafuta, kuna raha kuwa na mtu halafu kwa asilimia zaidi ya 90 unamuamini, huoni dalili za usaliti.
umeandika ki smart sana kavel
mambo mengine hua tunayatengeneza tu
akisha kua na wasiwasi tu hilo ni kosa la kwanza
ni mwanzo wa kuchepuka na matatizo mengine
kama una chochola we tembea ki smart ikibidi uwe na namba ya siri sana
ikifaa uiachage kazini ukoo
 
Back
Top Bottom