Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Waweza kutaka 'ku prove' Kwa kagua simu ila tahadhari kuna mambo haya mawili;

1. Ukikagau na ukakosa ushahidi wa kumkuta na hatia na akagundua umekagua basi hatia itakuja kwako kwa kugagua maana ni ishara ya kwamba humuamini ama unamtafutia sababu, kibaya zaidi sababu yenyewe hujaipata, inaweza kula kwako.

2. Ukikagau uwe tayari umejiandaa kisaikolojia kufanya maamuzi ama kukubali maamuzi, waweza kumkuta anachepuka ukashindwa kumiacha, ama hachepuki na akakuacha sababu humuamini ama ukampa sababu ya kukuacha (alikuwa anaitafuta)
Ni kweli usemayo though mwanamke huwa ana sixth sense flani, mpaka akujudge ujue lipo hata kama mume amefuta texts and all that.
 
Mkuu mimi mke wangu alichukuaga simu yangu usiku me nimelewa nimezima kumbe anaijua pin akatoa lock akaanza kuchukua marina ya kike anawapigia usiku sana na kuwatumia meseji me asubuhi napewa malalamiko wengine maafisa wananiambia we umeanza kuchanganyikiwa siku hizi ukilewa..ilikuwa ni aibu.nilimpiga mwanamke ndo ikawa kisa cha kuachana...mwanamke usije kumpa simu yako hawanaga akili mkuu.change password mara kwa mara
Mwanamke anayekufanyia hivyo ujue anakupenda
 
Binafsi pressure haiwezi kupanda lakini nakumbuka nishawahi soma text za beibe nikiwa kitandani..tumbo likaunguruma wee ikabidi niende kusomea chooni.
Ujumbe ulikuwa mzito mpaka nikasindikizwa na kuharisha.
Umenikumbusha jambo- mshikaji wangu kila akitaka kuchepuka lazima tumbo limsokote Kwa kuogopa interview... haya mambo ya interview za akina mama hadi saa 9 usiku-yasikie tu Kwa jirani..
 
Umenikumbusha jambo- mshikaji wangu kila akitaka kuchepuka lazima tumbo limsokote Kwa kuogopa interview... haya mambo ya interview za akina mama hadi saa 9 usiku-yasikie tu Kwa jirani..
😂 😂 mimi sikumuuliza nilitoa tu silent treatment huku naendelea kupekua for months.
Jamanii nilikonda kwa stress huku mwenzangu anakoroma tu vizuri dah! but on the bright side stress zilinipunguza nikawa portable, demand ikapanda😂 MBONA ALIKOMA
 
Shida ni akili ya huyo mwanamume
Ili mwanamke awe submissive inategemea na aina ya mwanamume
Hivyo hii scenario yako haiwezi kutumiwa kwa wanaume wote
Kuna baadhi ya wanaume ni muhimu kuwapekua otherwise familia nzima tutakula hasara
Solution:wanawake wawe makini na aina ya wanaume wanaochagua kuwa chini yao,mwanaume kizibo ukakubali kuwa chini yake walahi utaambulia mabua!!
Kwamba huyo mwanamke ni mjinga mpaka akachagua kizibo au kwamba uwepo wa huyo mwanamke ndio unafanya nini cha ziada kwa mwanaume. Aisee msipende kujipa umuhimu hivyo kwenye maisha ya mwanaume, nyie ni binadamu kama binadamu wengine tu.
 
Madudu gani zaidi ya uzinzi?hakuna kingine cha ajabu apo zaidi ni mna magroup yenu ya hovyo uchafu na ufuska
Labda kama umeaua mtu sioni cha ajabu kipya
Kwamba kila mwanaume unafikiri kulala na kila mwanamke ndio hulka yake. Aisee, nyie mkiendelea na maisha yenu mkiwa na privacy basi tuacheni na sisi. Mnataka vyote kwapupa mwishowe hukosa yote. Mindset ya kwamba unafikiri mwanaume akitaka privacy yake ni kuwa ni mzinzi basi ujue ndivyo ufanyavyo wewe. Nyie si mama zetu ni wake tu, nothing more, sielewi kwanini mnajipa nafasi kubwa maishani mwetu hivyo.
 
Ni kweli usemayo though mwanamke huwa ana sixth sense flani, mpaka akujudge ujue lipo hata kama mume amefuta texts and all that.
Hiyo sixth sense siokweli, intuition kila binadamu anayo. Hakuna ambaye hana ila zinabase on feelings kuliko logic ndio maana huona mwanaume asiitendee kazi maana ni kutokujiamini tu. Alichonacho mwanamke ambacho mwanaume hana huko kichwani ni mother instincts tu.
 
Hiyo sixth sense siokweli, intuition kila binadamu anayo. Hakuna ambaye hana ila zinabase on feelings kuliko logic ndio maana huona mwanaume asiitendee kazi maana ni kutokujiamini tu. Alichonacho mwanamke ambacho mwanaume hana huko kichwani ni mother instincts
Mwanaume siku zote haongozwi na feelings kama wanawake so huwezi kutendea kazi kitu ambacho hujadevelop
Sidhani kama kutojiamini ni sababu maybe useme mwanaume (not in general)sikuzote ni muongo but mwanamke ni mkweli sema mnafiki.
Hivyo wakinamama wana chance kubwa kudevelop iko kitu, basi tu siwezi eleza vizuri but binafsi mimi niko keen sana na pia natafsiri between lines kwa haraka, Anyway
 
Principal ni MOJA TU.
Usikague simu ya mpenzi wako kama bado unahitaji KUENDELEA nae. Maana itakuwa ni pointless, UTAUMIA TU.
Ila kama HAUHITAJI KUENDELEA nae, basi ni sawa, endelea KUKAGUA na utakayo kutana nayo ndio hayo uliyokuwa UNAYATAFUTA.
 
Dah. Mkuu, naona simu yako ina mambo mengi. Halafu nilichogundua unamchukulia wife wako kama housegirl flani hivi. Mkeo anayezijua siri zako ukiwa uchi, ukamuwekee siri namba ya mteja asiyemfahamu? Anyway, deal with your burden
Kuna jambo kubwa sana unashindwa kulielewa Jombaa. Nimesoma maoni ya S.M.P2503 ameandika vitu vya msingi sana.

Kuna umuhimu wa mke kufahamu : Taarifa anazotumiwa daktari na wagonjwa wake? Taarifa za usalama anazotumiwa kiongozi mwenye dhamana husika? Taarifa za mwanasheria na wateja wake? Taarifa za ubunifu wa bidhaa za awali za kampuni?

Mwezi wa 3 mwaka huu aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Bayern Munich Julian Naggelsman alifukuzwa kazi baada ya mchumba wake kuvujisha picha za game plan alizoziiba ktk simu yake ambayo ilikuwa ni WhatsApp chat na kocha wake msaidizi. Picha zilichapishwa ktk gazeti la BILD ambapo ndipo huyo mchumba wake alikuwa akifanya kazi kama mwandishi.
1693176878372.png

 
Sio busara kupekuwa simu ya mtu yeyote yule, ni tabia ya hovyo sana.
 
Na akiichunguza tu- interview inaanza mpaka saa 9 usiku halafu saa moja unakiwa kujiandaa kwenda kazini...
Hiyo interview labda afanye na K Vant. Sasasana atakuwa anajibu maswali magumu ya kunishawishi kwa kina ni nini kilimuwasha mpaka akashika simu yangu, mali yangu binafsi niliyoisajili rasmi kwa ajili yangu.... Na chochote kitakachotokea kwenye simu hiyo ninawajibika kujibu mimi peke yangu....
 
Kwamba huyo mwanamke ni mjinga mpaka akachagua kizibo au kwamba uwepo wa huyo mwanamke ndio unafanya nini cha ziada kwa mwanaume. Aisee msipende kujipa umuhimu hivyo kwenye maisha ya mwanaume, nyie ni binadamu kama binadamu wengine tu.

Siwezi kubishana na wewe kwasababu dhahiri inaonesha aina ya wanawake unao wataka wewe hawana cha ziada kwako.To each their own
Mfano wa mwanaume kizibo ni mwanaume anaechepuka hovyo bila kinga huku mkewe akiwa nyumbani katulia,kifuatacho ni mwanamke kupokea magonjwa in the name ya simfatilii mme wangu.
Mwanaume mwenye akili anatambua umuhimu wa familia yake anachepuka na akili zake
Narudia sio kila mwanaume ni wa kuwa submissive kwake,wanawake wawe makini wanapokubali kuspend maisha yao yote na wanaume vizibo ni mzigo na nuksi maisha yao yote,same hata nyie wanaume kuweni makini na wanawake vizibo ni mzigo wa maisha huo
 
Back
Top Bottom