Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Mke wangu nimeishi nae for 5yrs sikuwahi kushika simu yake kabisa,kuna Sikh alikuwa nje simu kaacha ndani nikafunga mlango wa chumba kisha nikachukua simu yake -sijui ni machale yalimcheza vile naanza kuishika tunnikasikia MTU anahangaika kufungua mlango.

Bahati mbaya password nikikuwa siijui sasa nikawa nabuni buni miaka ya watoto kuzaliwa au mwaka wake wa kuzaliwa.Hui muda niliokuwa natumia alitoka nje na jiwe kubwa akavunja mlango-siku hiyo ndio niliona Mke wangu ananguvu.

Mimi bila iana, alipovilunja tu mlango nikaona hapa isije kuwa ugomvi nikamkabidhi simu yake.tokea siku hiyo nilianza kuwasha indicators juu yake,MTU hadi anaamua kuvunja mlango lazima kuna madudu tu.
Atakuwa anakucheat aisee
 
Hii nayo ni changamoto, huyu atakupa msongo wa mawazo na utaishi kama digidigi if you cannot draw a line. Mipaka lazima iwepo, sio unatoka tu kazini , yeye anakimbilia simu yako....nchi nyingine hii ni domestic abuse, controlling behaviours na manipulation ambazo haziruhusiwi kisheria.
Nilishamwambia ukiendeleea hivi nakupiga chini.
 
Hizo gubu na ugomvi siwezi ingilia, ana paswa kubadilika

Ila suala la kushikiana simu fresh tu, ukiona anakuchunguza ujue ana mashaka, akichunguza asipokuta kitu atakuwa mpole tu..

We kwanini hutaki simu yako isishikwe, ina nini?
Una machafu yako play smart,uwe unafuta, kuna raha kuwa na mtu halafu kwa asilimia zaidi ya 90 unamuamini, huoni dalili za usaliti.
Ndoa sio simu mkuu.

Amewahi kushinda njaa kwani?
 
Eti mtu ameoa halafu anapigania haki yake ya kuongea na wanawake wengine bila mke wake kukasirika.
Acheni mapenzi ya kikorea african man always wako na power kwa kila kitu.unatakiwa uwasikilize na kuheshimu mumeo kukuoa wewe haimaanishi niache kuwasiliana na wanawake wengine
 
Sipendi mtu aingilie faragha zangu.

Mwanamke kisa unaishi nae anataka akufanye vile anavyotaka yeye.

Mfano usiweke status hata ya kumiwish happy birthday akiwa mwanamke anakasirika tu.
Inategemea pia ww misimamo yako toka mnaanza. Nikupe mfano wa kwangu mimi.

Nilianza na huyu ambaye ni mke wangu kwa kumwambia nn napenda nn sipendi na alipoenda makosa nilimkanya kwa kudhamiria na yeye alijua kabisa sijapenda, maswala ya simu hajawahi gusa japo ni jambo tunaliongelea na anajua madhara yake. Kuwa na marafiki simkatazi na yeye hanikatazi cha msingi ni mipaka na hao marafiki. Mwanamke akijua nn hutaki huwezi kuta anafanya tatizo letu wanaume tunawanyenyekea sana hawa wanawake mpka tunasahau kuweka misingi fulani. Ukiwa na misimamo isioonea mwanamke na ukawa na kauli kama mwanaume hutapata tabu
 
Za asubuhi.

Inakuaje mwanamke unakuwa busy kupekua simu ya mumeo na kuanza kusoma message kuanzia jamiiforum ,fb hadi normal text.

Wakuu niko na mwanamke ninayeishi naye sijamuoa Ila treatment anazonifanyia ninaweza nikafanya awe singo mama.

Nimemkataza kutoshika simu yangu lakini aelewi zaidi ya kugombana kila siku.

Ananuna muda wote.

Hamuwezi mkakaa mkafurahi kama wanavyofanya wanafamilia wengine.

Ana Gubu.
Binafsi mwanamke wa aina hii siwezi kua nae hata chembe kuniuliza uliza maswali yasio na kichwa wala miguu kama umeamua kuniamini niamini kwa Imani moja sio kukaa unajikanyaga kanyaga
 
Nilishamwambia ukiendeleea hivi nakupiga chini.
mwanamke kuolewa ni kama vile ame-pass thesis yake ya PhD, cha ajabu kabla haja- pass bado analeta songo mbingo na professor msimamizi wake- atapigwa chini tu. Ajira ya kudumu (kuolewa) lazima ajue kwamba akiichezea, itamponyoka na wengine watachukua nafasi yake kwa insecurities zake.
 
Mkuu mimi mke wangu alichukuaga simu yangu usiku me nimelewa nimezima kumbe anaijua pin akatoa lock akaanza kuchukua marina ya kike anawapigia usiku sana na kuwatumia meseji me asubuhi napewa malalamiko wengine maafisa wananiambia we umeanza kuchanganyikiwa siku hizi ukilewa..ilikuwa ni aibu.nilimpiga mwanamke ndo ikawa kisa cha kuachana...mwanamke usije kumpa simu yako hawanaga akili mkuu.change password mara kwa mara
Heri yako mkuu mm niliweka hadi password ya jicho,siku naamka usingizini kuona manzi analazimisha jicho lifunguke tuliachana mwana chuo yule.
 
Za asubuhi.

Inakuaje mwanamke unakuwa busy kupekua simu ya mumeo na kuanza kusoma message kuanzia jamiiforum ,fb hadi normal text.

Wakuu niko na mwanamke ninayeishi naye sijamuoa Ila treatment anazonifanyia ninaweza nikafanya awe singo mama.

Nimemkataza kutoshika simu yangu lakini aelewi zaidi ya kugombana kila siku.

Ananuna muda wote.

Hamuwezi mkakaa mkafurahi kama wanavyofanya wanafamilia wengine.

Ana Gubu.
Sasa bro Kuna shida gani mkeo akikagua simu yako
 
Za asubuhi.

Inakuaje mwanamke unakuwa busy kupekua simu ya mumeo na kuanza kusoma message kuanzia jamiiforum ,fb hadi normal text.

Wakuu niko na mwanamke ninayeishi naye sijamuoa Ila treatment anazonifanyia ninaweza nikafanya awe singo mama.

Nimemkataza kutoshika simu yangu lakini aelewi zaidi ya kugombana kila siku.

Ananuna muda wote.

Hamuwezi mkakaa mkafurahi kama wanavyofanya wanafamilia wengine.

Ana Gubu.
Hapo ndo uhawara tu. Ukimuoa atakuua huyo! Hafai kuwa mke!
 
Acheni mapenzi ya kikorea african man always wako na power kwa kila kitu.unatakiwa uwasikilize na kuheshimu mumeo kukuoa wewe haimaanishi niache kuwasiliana na wanawake wengine

Wacha weeee.
Sasa ni hivi bro, kama unataka kuendelea kuwasiliana na wanawake wengine wewe usioe maana itakunyima uhuru sana.

Ukishaoa hamna mambo ya faragha kati yako na mke wako. Na kitu kama kinamnyima raha mpenzi wako ni vyema kukiacha.
 
Mnakaririshwa vibaya Sana so ukioa usiwe na uhuru binafsi
 
Back
Top Bottom