Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Tukiwaambia KATAA MAHUSIANO mnadhani tumekosa kazi ya kufanya ona sasa 😀
Kwani had unamkataza simu unaficha nin au kama unamficha hao wengne ulionao kwanini usimuache ukaenda kwa hao ili uwe huru
 
Yes ndio maana ya you are innocent until proven guilty, sasa ataprove-je?
Waweza kutaka 'ku prove' Kwa kagua simu ila tahadhari kuna mambo haya mawili;

1. Ukikagau na ukakosa ushahidi wa kumkuta na hatia na akagundua umekagua basi hatia itakuja kwako kwa kugagua maana ni ishara ya kwamba humuamini ama unamtafutia sababu, kibaya zaidi sababu yenyewe hujaipata, inaweza kula kwako.

2. Ukikagau uwe tayari umejiandaa kisaikolojia kufanya maamuzi ama kukubali maamuzi, waweza kumkuta anachepuka ukashindwa kumiacha, ama hachepuki na akakuacha sababu humuamini ama ukampa sababu ya kukuacha (alikuwa anaitafuta)
 
Lazima nijue kinachoendelea kwenye maisha yako. Yaani siwezi kukupa uhuru wa kuchepuka kwa kujiachia lazima uchepuke kwa kuteseka.
Kadri unavyoweka ugumu wa mpenzi wako kuchepuka ndivyo unavyoongeza utamu, ubunifu na ladha ya yeye kuchepuka na mchepuko wake.

Imarisha penzi lako, ndo njia ya kudhoofisha mchepuko wao, maana kadri penzi lako linavyozidi imarika, mchepuko wao unazidi dhoofika.
Lazima nijue kinachoendelea kwenye maisha yako. Yaani siwezi kukupa uhuru wa kuchepuka kwa kujiachia lazima uchepuke kwa kuteseka.
 
Mke wangu ni mke wangu na yeye ana profession yake inayohitaji data protection. Akiivunja data protection ni jela si chini ya miaka 5 kwa nchi hapa tulipo. Sijui ni kwa nini hili jambo la data protection wengi munalichukulia kirahisi na poa Kwa mfano, breaches of personal date breach (kwa nchi kama UK - Commonwealth) must be reported to authorities within 72 hours : Personal data breaches

Data breaches haina uhusiano na nani kavua chupi au ana mkunyenge mrefu wala kujua kichuma mboga style.

Failure to report data breach for companies kwa mfano- soma hapa ujue wenzetu wanafanyaje, sio mambo ya gf na bf, hayo ni mambo ya chumbani: Failing to notify a breach when required to do so can result in a significant fine up to £8.7m or 2 per cent of your global turnover.

Halafu wewe unasema ni mkeo lazima ajue siri za mteja wako... uta-deal na burden yako... akili zako changanya na za kuambiwa siku ukifika nchi za watu. Katika mambo ya kazi hakuna mume wala mke, hata company ina legal personality when it comes to collecting, storing, processing and accessing data. Usipo handle hizo data vizuri na zikaangukia kwa mtu ambaye hahusiki kuzijua, hiyo faini ya £ 8.7 Million inakuhusu. Sasa ona wenzetu walivyo serious na mambo ya data. Huwezi mwambia padri awawe taarifa za nini umwemwambia ktk chumba cha maungamo... na hata akipewa mtutu wa bunduki - padri hasemi- hii ndio seriousness inayohitajika katika ku- handle PII- Personal identifiable information. Sio kumwachia wife au mchepo aangalie kilicho kwenye simu- haikubariki. Usije sema hukujua umuhimu wa collecting, storing, processing and accessing data, au labda ni ligi tu kunogesha maoni humu JF. Binafsi nalipwa kwa kuangalia ni wapi data breach imefanyika ili coorporate clients walipe. Ndio kazi yangu humu Duniani inayonipa mkate wa kila siku kwa zaidi ya miaka 20

Acha ubishi. Sio busara kwa mwanamke kukagua simu ya mumewe. Mimi sijaoa ila simu ya mpenzi wangu hata password siijui. Simu yangu ashaniuliza sana password lakini siwezi kumtajia na sio kwamba namcheat ila kuna masuala ya kifamilia, chattings za washkaji zinazohotaji usiri n.k hapaswi kuzijua. Akili yako isiishie kwenye michepuko ya mumeo tu
I am a man. Niko kwenye ndoa mwaka wa 8 huu. What works best for me doesn't mean it will necessarily work for everyone. Na uchumba ni tofauti na ndoa. Tengeneza system itakayofanya kazi kwenye mahusiano yako, lakini usimpe mawazo kwamba unamcheat.
 
Na vipi Kama hiyo Ni simu yenye contacts za wateja? Maana watu Kama wanasheria wana data Na siri kibao ambazo Ni private Na confidential - zinatakiwa kufichwa Kama padri anavyoficha mambo ya waungamaji...
Mimi Mke wangu tangu nimuoe huu ni Mwaka wa 23 hajawahi hata kuishika- siku akiishika siku hiyo anajua itakuwa ndio talaka...achilia mbali simu- hata mifukoni mwa suruari hakagui...Na nimesikia mara nyingi akiwaambia watoto - don’t go to daddy’s pocket... very disrespectful. Na kweli hawaendi...
Omba Mungu akupe Mke bora wa Matamamanio yako Na atakupa...

Shida ni akili ya huyo mwanamume
Ili mwanamke awe submissive inategemea na aina ya mwanamume
Hivyo hii scenario yako haiwezi kutumiwa kwa wanaume wote
Kuna baadhi ya wanaume ni muhimu kuwapekua otherwise familia nzima tutakula hasara
Solution:wanawake wawe makini na aina ya wanaume wanaochagua kuwa chini yao,mwanaume kizibo ukakubali kuwa chini yake walahi utaambulia mabua!!
 
Mi wa kwangu nilishawaambia simu ni mali yangu. Ukiishika ukakuta yasiyokuhusu usiniambie. Chukua maamuzi yako maana mimi sipendi malumbano.

Hawathubutu kuigusa wala kuiangalia maana nlishawaambia kabisa kuna madudu watakutana nayo afu watadedi kwa presha....

Madudu gani zaidi ya uzinzi?hakuna kingine cha ajabu apo zaidi ni mna magroup yenu ya hovyo uchafu na ufuska
Labda kama umeaua mtu sioni cha ajabu kipya
 
Mke wangu nimeishi nae for 5yrs sikuwahi kushika simu yake kabisa,kuna Sikh alikuwa nje simu kaacha ndani nikafunga mlango wa chumba kisha nikachukua simu yake -sijui ni machale yalimcheza vile naanza kuishika tunnikasikia MTU anahangaika kufungua mlango.

Bahati mbaya password nikikuwa siijui sasa nikawa nabuni buni miaka ya watoto kuzaliwa au mwaka wake wa kuzaliwa.Hui muda niliokuwa natumia alitoka nje na jiwe kubwa akavunja mlango-siku hiyo ndio niliona Mke wangu ananguvu.

Mimi bila iana, alipovilunja tu mlango nikaona hapa isije kuwa ugomvi nikamkabidhi simu yake.tokea siku hiyo nilianza kuwasha indicators juu yake,MTU hadi anaamua kuvunja mlango lazima kuna madudu tu.

Hapo huna chako[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sipendi mtu aingilie faragha zangu.

Mwanamke kisa unaishi nae anataka akufanye vile anavyotaka yeye.

Mfano usiweke status hata ya kumiwish happy birthday akiwa mwanamke anakasirika tu.

Kwanini umuweke birthday status mwanamke mwingine nonsense nilishawahi mpiga chini mtu sababu hio huo ni ujinga,hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume
Wewe itakuwa unapenda sana mapicha picha
 
Mkuu mimi mke wangu alichukuaga simu yangu usiku me nimelewa nimezima kumbe anaijua pin akatoa lock akaanza kuchukua marina ya kike anawapigia usiku sana na kuwatumia meseji me asubuhi napewa malalamiko wengine maafisa wananiambia we umeanza kuchanganyikiwa siku hizi ukilewa..ilikuwa ni aibu.nilimpiga mwanamke ndo ikawa kisa cha kuachana...mwanamke usije kumpa simu yako hawanaga akili mkuu.change password mara kwa mara



Ni yule mwanamke wako wako wa kimakonde wa kule Lindi siijui Mtwara vile ?! [emoji3][emoji28]

Kumbe wewe ni Mwanaume wa misimamo mikali?!
 
Hakuna.uhuni mwanamke mnapenda kuwacontrol wanaume kiupumbavu sana.



Tabia ambayo ni kinyume na kanuni za kiMungu.

Mwanaume ndiye aloagizwa kumtawala mwanamke.

Hata Sara alimuita mumewe Ibrahim “ Bwana” maana yake Mtawala “ wake.

Sasa uharibifu umeingia wanawake wanataka kutawala wanaume wafanye watakavyo .
 
Mke wangu nimeishi nae for 5yrs sikuwahi kushika simu yake kabisa,kuna Sikh alikuwa nje simu kaacha ndani nikafunga mlango wa chumba kisha nikachukua simu yake -sijui ni machale yalimcheza vile naanza kuishika tunnikasikia MTU anahangaika kufungua mlango.

Bahati mbaya password nikikuwa siijui sasa nikawa nabuni buni miaka ya watoto kuzaliwa au mwaka wake wa kuzaliwa.Hui muda niliokuwa natumia alitoka nje na jiwe kubwa akavunja mlango-siku hiyo ndio niliona Mke wangu ananguvu.

Mimi bila iana, alipovilunja tu mlango nikaona hapa isije kuwa ugomvi nikamkabidhi simu yake.tokea siku hiyo nilianza kuwasha indicators juu yake,MTU hadi anaamua kuvunja mlango lazima kuna madudu tu.
Nimechekaaa kwa nguvuuuu😂😂😂😂😂😂😂jaman kila mtu abaki na cm yakee
 
Mkuu mimi mke wangu alichukuaga simu yangu usiku me nimelewa nimezima kumbe anaijua pin akatoa lock akaanza kuchukua marina ya kike anawapigia usiku sana na kuwatumia meseji me asubuhi napewa malalamiko wengine maafisa wananiambia we umeanza kuchanganyikiwa siku hizi ukilewa..ilikuwa ni aibu.nilimpiga mwanamke ndo ikawa kisa cha kuachana...mwanamke usije kumpa simu yako hawanaga akili mkuu.change password mara kwa mara
Mkuu nimecheka!
 
Kuna siku nilimpa mtu bana namba yangu. Hakuwa na lengo la kunitongoza ni baba wa mwanafunzi wangu. Nikajua ni mtu mzima anajitambua.

Hee si akanipigia simu saa 4 usiku[emoji23][emoji23][emoji23]. Namba ni ngeni nikapokea nikajua ni yeye nikaikatia sikioni. Maana baby angeniuliza hata kama ni mambo ya shule ndio mida hii?

Mara akapiga tena nitafanyaje nikapokea eti linaniuliza “sasa mbona unakata simu tena” . Sasa nikajiuliza kama amegundua nimekata simu kwanini arudie kupiga. Nilitamani nimtukane. Nikamwambia nakusikiliza eti “umeshalala nini au nimepiga muda mbaya”?

Huo ugomvi alioniachia yule ndio nilijifunza tokea hiyo siku.
Ilo jamaa ni la hovyo sana
 
Back
Top Bottom