Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Kwamba kila mwanaume unafikiri kulala na kila mwanamke ndio hulka yake. Aisee, nyie mkiendelea na maisha yenu mkiwa na privacy basi tuacheni na sisi. Mnataka vyote kwapupa mwishowe hukosa yote. Mindset ya kwamba unafikiri mwanaume akitaka privacy yake ni kuwa ni mzinzi basi ujue ndivyo ufanyavyo wewe. Nyie si mama zetu ni wake tu, nothing more, sielewi kwanini mnajipa nafasi kubwa maishani mwetu hivyo.

Sio kila mwanaume ana hulka ya uzinzi,mume wangu hana hio hulka,lakini haiwezekani upiganie privacy kwa nguvu hivyo lazima kuna walakini,privacy ni haki ya kila mtu ila ukiona mtu anatoa vitisho vikali ujue ni madudu
Mfano mimi sishiki simu ya mume wangu na yeye pia hashiki,nikihitaji kitu kwenye simu yake mfano calculator nk akaanza kunipa kwa masharti hapo kuna tatizo sehemu.
Huko mwishoni kwa ulivyo jibu inaonesha either mkeo hajakuonesha thamani yake kwako au ni wewe hujui thamani ya mke kwako au hujapata mke sahihi.
Mimi mume wangu ni hadi kifo kitutenganishe,katika hali zote nimepita nae na sijawahi kumkimbia,ninayo nafasi kubwa sana kwenye maisha yake na anatambua,hivyo hivyo yeye pia ana nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu.
 
Mkuu....
Itoshe tu kusema kwamba hapo hauna mke.
Ni marufuku mke kugusa "acha tu kushika" simu ya mume wake.
Naomba niishie hapa kwa leo.
Shemeji, shemeji hapana.....mi nasoma Hadi meseji za soka bet🤣🤣🤣🤣🤣Hamchelewi kusave watu patapata nyie
 
Mwanaume siku zote haongozwi na feelings kama wanawake so huwezi kutendea kazi kitu ambacho hujadevelop
Sidhani kama kutojiamini ni sababu maybe useme mwanaume (not in general)sikuzote ni muongo but mwanamke ni mkweli sema mnafiki.
Hivyo wakinamama wana chance kubwa kudevelop iko kitu, basi tu siwezi eleza vizuri but binafsi mimi niko keen sana na pia natafsiri between lines kwa haraka, Anyway
Nilichokwambia ni scientific fact get that on mind. Kutafsiri btn the lines, thats an emotional intelligence ambayo ina vary kwakila binadamu ila kuna kaasilimia fulani wanawake wapo wengi kuliko sisi ila sio kwamba ni kubwa. Hakuna binadamu muongo kama mwanamke bear that in mind, wameongopa vitu vingi mpaka kupata ndoa, kazi, vyeo na mali duniani. Hivyo sijaona chauongo hapo. Nakuhusu unafiki, pia mnauweza. Kwasababu huwezi kufanya unafiki bila kufanya uongo kwanza. Kuhusu hisia kila binadamu anazo, hakuna binadamu ambazo hajadevelop ndio maana kila binadamu ana hypothalamus. Every human has emotions tunatofautiana ni kwakuzicontrol tu. Ila structure ya ubongo wa mwanamke hubadilika pale tu akishapata mimba ili adevelop mother insticts hakuna kingine kinachotokea. We call it intuition ila kwa mwanaume tunapenda kuita gut feeling. So hamna jipya.
 
Siwezi kubishana na wewe kwasababu dhahiri inaonesha aina ya wanawake unao wataka wewe hawana cha ziada kwako.To each their own
Mfano wa mwanaume kizibo ni mwanaume anaechepuka hovyo bila kinga huku mkewe akiwa nyumbani katulia,kifuatacho ni mwanamke kupokea magonjwa in the name ya simfatilii mme wangu.
Mwanaume mwenye akili anatambua umuhimu wa familia yake anachepuka na akili zake
Narudia sio kila mwanaume ni wa kuwa submissive kwake,wanawake wawe makini wanapokubali kuspend maisha yao yote na wanaume vizibo ni mzigo na nuksi maisha yao yote,same hata nyie wanaume kuweni makini na wanawake vizibo ni mzigo wa maisha huo
Kama ulichagua mwanaume kizibo ujue na wewe pia ni kizibo, kwasababu ulichagua kwa akili yako mwenyewe wala hukuchaguliwa na mtu. Yote hayo sijui umuhimu wa familia na vingine ni juu ya mwanaume uliomchagua mwenyewe hivyo kama akili ni kizibo basi jua ulichagua kizibo mwenzio, hukufuatilia uaminifu wake juu yako wakati mpo kwenye uchumba au hunaga akili mpaka uingie ndoani. Submission is based on you and only you, na mimi sijaliongelea hapa na wala sisehemu ya mada. Mada inaongelea privacy, being with you haimaanishi ndio umepewa kuchukua kila sehemu ya maisha yangu yote hapana. Nilizaliwa peke yangu, nilikuwa kwawazazi wangu, nikaishi mpaka kuja kukutana na wewe ukubwani na notakufa peke yangu, kote wewe hukuepo na hutakuepo sasa who told you that you can control my life au limit my privacy wakati alienizaa mwenyewe kwa tumbo lake na ambaye ametoka viunoni mwake hafanyi hivyo. Spend life with me but never think you are special to my life, ni binadamu tu tuliokubaliana tuishi pamoja na kuzaa watoto nothing new.
 
Sio kila mwanaume ana hulka ya uzinzi,mume wangu hana hio hulka,lakini haiwezekani upiganie privacy kwa nguvu hivyo lazima kuna walakini,privacy ni haki ya kila mtu ila ukiona mtu anatoa vitisho vikali ujue ni madudu
Mfano mimi sishiki simu ya mume wangu na yeye pia hashiki,nikihitaji kitu kwenye simu yake mfano calculator nk akaanza kunipa kwa masharti hapo kuna tatizo sehemu.
Huko mwishoni kwa ulivyo jibu inaonesha either mkeo hajakuonesha thamani yake kwako au ni wewe hujui thamani ya mke kwako au hujapata mke sahihi.
Mimi mume wangu ni hadi kifo kitutenganishe,katika hali zote nimepita nae na sijawahi kumkimbia,ninayo nafasi kubwa sana kwenye maisha yake na anatambua,hivyo hivyo yeye pia ana nafasi kubwa sana kwenye maisha yangu.
Hayo ni makubaliano ya wewe na mume wako ila basic ni kwamba kama hajakuruhusu, basi tulia mpaka atake mwenyewe ila sio kulazimisha vitu ambavyo havikuhusu. Why being nosy in something thats not yours, huoni kwamba wewe ndio unashida na hujiamini. Yaani unayotaapplt kwenye mahusiano yako usijaribu kuingiza kwenye ndoa za zingine na ndio maana wanawake wanavunjiana ndia zao kwakupeana ushauri wa kijinga wa kucompare ndoa zenu. Thats for you and your marriage usifikiri wanaume wote ni sawa na wako
 
Kila mtu yupo sahihi kwa mawazo yake haya uwe na siku njema maana naona unajibu visivyo kuwepo tunaweza kuwa tunabishania kitu ambacho hatuelewani
 
Kuna jambo kubwa sana unashindwa kulielewa Jombaa. Nimesoma maoni ya S.M.P2503 ameandika vitu vya msingi sana.

Kuna umuhimu wa mke kufahamu : Taarifa anazotumiwa daktari na wagonjwa wake? Taarifa za usalama anazotumiwa kiongozi mwenye dhamana husika? Taarifa za mwanasheria na wateja wake? Taarifa za ubunifu wa bidhaa za awali za kampuni?

Mwezi wa 3 mwaka huu aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Bayern Munich Julian Naggelsman alifukuzwa kazi baada ya mchumba wake kuvujisha picha za game plan alizoziiba ktk simu yake ambayo ilikuwa ni WhatsApp chat na kocha wake msaidizi. Picha zilichapishwa ktk gazeti la BILD ambapo ndipo huyo mchumba wake alikuwa akifanya kazi kama mwandishi.
View attachment 2730897

Mnachoshindwa kukielewa ni kwamba, mke hukagua simu yako kujiridhisha kama hakuna fouls unazomtendea kwenye mahusiano. Na kadri unavyomkataza ndivyo unavyozidi kuhuisha taswira kwamba kuna madudu unafanya. Ukiona mkeo anakwenda kwenye siri za wateja, na anahangaika nazo, basi jua umeoa jambazi, and you'll have to take those precautionary measures. Trust me, zaidi ya 95% ya ukaguzi huwa inahusu kukagua viashiria au ushahidi wa udanganyifu kwenye mahusiano.
 
Tunataka kuwajua competitors wetu na namna ya kudeal nao
Hawa watu sio wa kuwaacha hivi hivi bila kushika simu zao ni namna ya kuwashtua tu warudi kwenye mstari ila kushindana nao nehiii
 
Sasa anakumilikisha sehemu zake za siri aache kukagua simu yako ili ajue ajikinge vipi na gono na uti?.
Mwee bora hiyo mbususu ingekuwa guarantee kuwa wala weye peke....unakuta anapelua hivyo na bado anagawa kwa bodyguard wako
 
Back
Top Bottom