Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Inakuaje unachunguza simu ya mumeo?

Mkuu mimi mke wangu alichukuaga simu yangu usiku me nimelewa nimezima kumbe anaijua pin akatoa lock akaanza kuchukua marina ya kike anawapigia usiku sana na kuwatumia meseji me asubuhi napewa malalamiko wengine maafisa wananiambia we umeanza kuchanganyikiwa siku hizi ukilewa..ilikuwa ni aibu.nilimpiga mwanamke ndo ikawa kisa cha kuachana...mwanamke usije kumpa simu yako hawanaga akili mkuu.change password mara kwa mara
Pole Sana mkuu.
 
Nilishamkataza kukagua simu yangu.

Kuna faragha hata kama yeye ni mke wangu aruhusiwi kuzijua .

Nilishampa warning since day one.

Anavuka mipaka .

Halfu anataka ndoa kwa mtindo huu
Nadhani umeoa, lakini bado una mentality ya bachelor. Ungeelewa kwamba kukubali kuoa kunamaanisha ku-surrender sehemu kubwa ya hizo unazoziita faragha zako, wala lisingekushughulisha. Je, na yeye akiwa na faragha na ma-X zake halitokuumiza? Kama jibu lako ni ndio, basi unajua unachopaswa kufanya
 
Sasa anakumilikisha sehemu zake za siri aache kukagua simu yako ili ajue ajikinge vipi na gono na uti?.
Kumilikisha sehemu za Siri isikupe ujasiri, ukadhani unamiliki maisha yake yote

Mara nyingi, anayekagua si kwamba anataka kujua asichojua kuhusu mwenza wake bali anataka thibitisha aliwazalo juu ya mwenza wake.
 
Lazima nijue kinachoendelea kwenye maisha yako. Yaani siwezi kukupa uhuru wa kuchepuka kwa kujiachia lazima uchepuke kwa kuteseka.
 
Simu ya mkononi ni ya mtu mmoja sio wengi.

Akisikia naongea na sauti ya kike ananuna.

Nikichart na mwanamke anakasirika.

Ananiingilia faragha zangu hata kama nimemuoa.

Simu yake hata password siijui

Sasa mwanamke unaongea naye nini inategemea. Slogan ni ile ile hamna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke.

Sasa huyo mwanamke unayeongea naye ni nani na mnaongea kuhusu kazi au mambo ya urafiki tu?

Wewe ukisikia mke wako anaongea na wanaume ambao sio kaka yake au baba yake utachekelea?
 
Mm nimempa uhuru anaotaka aniache na maisha yangu pia.

So nikioa mwanamke nisiwasiliane na wan awake wengine
 
Back
Top Bottom