The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Mkuu,hata tumbaku uzalishaji wake hauna positive impacts zozote?Huwa inanifikirisha jinsi sigara zinavyosindikizwa na bunduki tena kwenye ka-gari/pick-up tu.Halafu mahindi semi truck zima hakuna anayehangaika nalo.Jiunge nami kutafakari.
Economic strengths za mkoa linganishi amezipuuza angejikita kuainisha umuhimu wa mbeya kiuchumi na uharaka na umahususi wa kuboresha mazingira wezeshi kwa mbeya wilaya za ileje,mbalali, mbeya rural, rungwe etc. Hata Mbeya Mjini barabara hovyo Mbeya ina wabunge matopopolo kabisa.Mkuu,hata tumbaku uzalishaji wake hauna positive impacts zozote?Huwa inanifikirisha jinsi sigara zinavyosindikizwa na bunduki tena kwenye ka-gari/pick-up tu.Halafu mahindi semi truck zima hakuna anayehangaika nalo.Jiunge nami kutafakari.🤔🤔🤔🤔🤔
Tena ndo pangekuwa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kama si chuki binafsi.Tabora na kijichi(dar) ni sample projects za mashirika ya nje.....DFP.
Wanyamwezi mnaongoza kwa majungu tz kuliko kabila lolotetabora ni toronto tena toronto kwelikweli sisi wana tabora tunajivunia tabora yetu.
Mkuu mbeya barabara ni mbovu mfano anzia kabwe mpaka mbalizi potholes kibaoMtoa mada mimi sijakusoma vizuri, hivi unazungumzia barabara za ndani ya jiji la Mbeya au kwenye mkoa wa Mbeya kwa ujumla wake? Maana katika mkoa wa Mbeya, wenye wilaya za Kyela, Rungwe, Chunya, Mbarali na Mbeya yenyewe, zote zimeunganishwa na lami, hebu fafanua kidogo