kuweka frequency moja angalau kwa mikoa jirani itasababisha mwingiliano kwa walio maeneo ya katikati ambayo wanaweza kupata mawimbi kutoka transmission points mbili wakati mmoja.
FM ni Masafa Mafupi kutoka kwenye Mkonga/Mnara. Kwahiyo ile radius yake ni ndogo.
AM ni Masafa Marefu TZ nzima inaweza kua moja tu mfano RTD zamani.
Sijataka somo la AM na FM nimeuliza frequency kuwa tofauti.FM ni Masafa Mafupi kutoka kwenye Mkonga/Mnara. Kwahiyo ile radius yake ni ndogo.
AM ni Masafa Marefu TZ nzima inaweza kua moja tu mfano RTD zamani.
Nimetaja RTD hapo. Mzee umezaliwa 2000s nini?Sijataka somo la AM na FM nimeuliza frequency kuwa tofauti.
We umesikia Radio gani inatumia AM Tanzania!.
Umeovershoot!.
Kwahiyo kila mkoa radio station inawabidi wafunge mnara au wanashare mnara mmoja!?.Mkuu iko hivi kila mkoa Radio ina Frequency zake hio Wasafi ipo Dar tu mkuu kwingine labda u tune online inshu ya Frequency iko chini ya TCRA wao ndio wana ku assign Frequency kutokana na availability ya hio station ktk mkoa husika ww leo ukitaka kuanziasha radio basi utatafuta Frequency ambayo iko Empty haina mtu ndio utakuwa registered kwa hio na utatengeneza transmitter za kurusha mawimbi ya hio Frequency kila mkoa lazima utofautiane ukienda Arusha Frequency unayotumia dar utakuta tayari iko registered na mwingine
Hayo mawimbi yanalipiwa one time au kila mwezi?.Hiyo wasafi 88.9 ni kama e fm 97.3.
Sawa na ea radio 88.1
Vile vile clouds 88.5!
Hayo ni masaya ya dar, ila mikoani kuna code zao tofauti na hizo hapo juu.
Kwani wewe unataka kujua nini hasa?
kwanini waliacha kutumia AM?
Wanawasikia kupitia azam dishMkoani kumbe hawasikiki basi team zao zilivyo humu JF nikajua na mikoani wanawasikia.
kwahiyo ili radio station isikilizwe nikoa 26 itabidi ifunge kifaa kwa kila mkoa, sasa kwanini kifaa cha AM kisiboreshwe then ndio kitumike.AM ni technology ya kizaman.
inaathiriwa sana na interference na noise kulilo FM.
Pia FM ina good sound quality kwa sababu ina bandwidth kubwa kuliko AM.
Mwisho kabisa AM inahitaji Transmitter yenye power kubwa sana kusafirisha mawimbi mbali.
AM ni technology ya kizaman.
inaathiriwa sana na interference na noise kulilo FM.
Pia FM ina good sound quality kwa sababu ina bandwidth kubwa kuliko AM.
Mwisho kabisa AM inahitaji Transmitter yenye power kubwa sana kusafirisha mawimbi mbali.