Inaitwaje hii?

Inaitwaje hii?

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
magaga.jpg
 
Inaitwa Gamba au CCM.

Anyway, kwa lugha ya Kimataifa, inaitwa Google Map.

Kinyamwezi tunasema "Magagala". TUKUTUKU, nimepatia?
 
Last edited by a moderator:
Easymutant
.

Kiswahili = Sagamba
Kikorea = 피부 경결
Kichina = 胼胝
Kingereza = Callus.
 
Last edited by a moderator:
Magwambala...ukiwa kwetu Maganzo,kwa wakwe zangu wanaita Makegete
 
Inaitwa Gamba au CCM.

Anyway, kwa lugha ya Kimataifa, inaitwa Google Map.

Kinyamwezi tunasema "Magagala". TUKUTUKU, nimepatia?

Kumbe #TUKUTUKU ni wa Mboka Manyema?basi pale tukutuku kuna visima vya.maji...tulikuwa tunakata mabomba makusudi pale Tabora Boys ili tuende tukutuku na watoto wa Tabora Girls
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom