Inaitwa safari ya matumaini..

Inaitwa safari ya matumaini..

Joined
May 26, 2015
Posts
56
Reaction score
20
Huyo ndo EL
 

Attachments

  • 1432732915016.jpg
    1432732915016.jpg
    75.9 KB · Views: 759
El noma sana nimeona ilo bango limepamba ukurasa mmoja kwenye gazeti la Mwananchi leo.
 

Kwa sasa tunasikia tetesi kuwa ndani ya CCM kuna makundi matatu ambayo sina hakika kama ni kweli; makundi haya ni: CCM Asili (Wakulima na Wafanyakazi), CCM Fuata Upepo (Maslahi na Ulaji) na CCM Ufisadi (Ufisadi na Kusaka Fedha kwa mbinu zote). Ujio wa Makongoro Nyerere kama kweli atatangaza nia, ujio wake utabadili sana mwelekeo wa kura za kumchagua mgombea kiti cha Rais kupitia CCM.
 
Makongoro huwezi kumtukana kuwa ni FISADI na hana kundi ambalo unaweza ukasema ndiyo linamtuma.

Akicheza karata zake vizuri na kuongea na UKAWA, Tume ya Warioba na CCM asili, anaweza kabisa kuchaguliwa.

Ila hapa itabidi aahidi vitu kadhaa ambavyo hata maisha yake yanaweza kuwa hatarini kama kurudisha nyumba za serikali, mali za wizi kama Escrow, EPA nk. Ila ukitaka kula, kubali uliwe kidogo. Itabidi wakubaliane na Kikwete kuwa yeye watamuacha ila hao wengine ikijulikana wana hatia...... Iwe isiwe, namhurumia sana Rais Kikwete maana ana hali ngumu.


Kwa sasa tunasikia tetesi kuwa ndani ya CCM kuna makundi matatu ambayo sina hakika kama ni kweli; makundi haya ni: CCM Asili (Wakulima na Wafanyakazi), CCM Fiuata Upepo (Maslahi na Ulaji) na CCM Ufisadi (Ufisadi na Kusaka Fedha kwa mbinu zote). Ujio wa Makongoro Nyerere kama kweli atatangaza nia, ujio wake utabadili sana mwelekeo wa kura za kumchagua mgombea kiti cha Rais kupitia CCM.
 
Back
Top Bottom