Tena wanakatwaMpaka sasa sijajua namna yale mabilioni yanazuia vipi mgandamizo wa hili joto 😂
Viongozi wa Bongo kummae zenu
Chama cha MajiziKila kitu kimekauka.
El Nino El Nino kumbe ni mbinu ya upigaji wa hela za walipa kodi
Tanzania na viongozi wake wamelaaniwa kwa mauaji ya Oktoba , 29 2025Kila kitu kimekauka.
El Nino El Nino kumbe ni mbinu ya upigaji wa hela za walipa kodi
Ya elinino?Kahama mvua zishaanza
Mwezi wa Tisa ulilima nini,wapi?Kila kitu kimekauka.
El Nino El Nino kumbe ni mbinu ya upigaji wa hela za walipa kodi