ha ha haa,vp jamaa yako amefanikiwa kuchoma hadi kadi alizoletewa na shemeji?Mh wewe bado kabisaaa, wengine wanajaza haice na matumizi juu we hao 3 wanakutoa jasho.
ha ha haa,vp jamaa yako amefanikiwa kuchoma hadi kadi alizoletewa na shemeji?
asante mkuu,yaan hapa ndani nimejiachia kwa amani,no stressHongera....
hahaha.. usitishike na hako kamsemo mkuu nimejaribu kuonesha huruma yangu kwa rugha ya maandishi...but hujakosea sana me ni mtoto wa pwani pia.,
kipaji gan ni matatizo tuIla mkuu kuwa na wanawake wa 3 kwa wakati mmoja ni kipaji, hongera kwa hilo....!!!!
nimecheka kidogo nife...Tena juzi ndo katoka kufanya birthday yake, zawadi aliyopewa na mpz waje kaichoma na midori yote, hahahahaaaa aaa.
Aisee......