Inahitaji moyo sana kuishi na mpenzi mshamba mshamba

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Katika vitu ambavyo huwa vinaniacha mdomo wazi ni hawa wapenzi washamba yaani huwa sielewi sijui huwa wakoje tu yaani.

Ukivaa tu kofia yeye kwake kero, ukichat tu na simu yeye anajua wewe ni malaya, usiongee na simu hata dakika tano tiari yeye ashajua ulikuwa unaongea na mwanamke, usiongee kiswahili alafu uchanganye na kingereza ukifanya tu hivyo tiari kwake yeye ni kero.

Kuna msichana wangu mmoja hivi yaani hata kuvaa tu jinsi kwake ni kero anataka eti niwe navaa manguo ya vitambaa na ukicheki mimi mwenyewe sina suruali ya kitambaa hata moja.

Nyie wenye wapenzi washamba mna moyo sana endeleeni na wapenzi wenu
maana msichana mshamba hata kuingia uvinza huwezi, maana ukifanya hivyo atakuona wewe ni mhuni sana.

NANYUPU

LONDON BABY
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Katika vitu ambavyo huwa vinaniacha mdomo waz ni hawa wapenz washamba yaan huwa sielewi sijui huwa wakoje tu yaan

Ukivaa tu kofia yeye kwake kero
Ukichat tu na cm yeye anajua wewe ni malaya
Usiongee na cm hata dakika tano tiar yeye ashajua ulikuwa unaongea na mwanamke
Usiongee kiswahili afu uchanganye na kingereza ukifanya tu hivyo tiar kwake yeye ni kero

Kuna kidemu changu kimoja hivi yaan hata kuvaa tu jins kwake ni so kanataka et niwe navaa manguo ya vitambaa na ukichek mimi mwenyewe sina surual ya kitambaa hata moja

Nyie wenye wapenz washamba mna moyo sana endeleen na wapenz wenu

maana demu mshamba hata kumlamba jicho huwez
Hata kuingia uvinza huwez, maana ukifanya hivyo atakuona wewe ni mhun sana

NANYUPU

LONDON BABY
Kwa kweli umenena Mimi ilinitokea Mwanza , huo mzk mpaka sasa unanisumbua
 
Ni jukumu lako kumbadilisha sasa!! Angalia asije aka kuendesha, weka misingi yako na muoneshe kuwa hiyo ndo lifestyle yako!!
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Katika vitu ambavyo huwa vinaniacha mdomo waz ni hawa wapenz washamba yaan huwa sielewi sijui huwa wakoje tu yaan

Ukivaa tu kofia yeye kwake kero
Ukichat tu na cm yeye anajua wewe ni malaya
Usiongee na cm hata dakika tano tiar yeye ashajua ulikuwa unaongea na mwanamke
Usiongee kiswahili afu uchanganye na kingereza ukifanya tu hivyo tiar kwake yeye ni kero

Kuna kidemu changu kimoja hivi yaan hata kuvaa tu jins kwake ni so kanataka et niwe navaa manguo ya vitambaa na ukichek mimi mwenyewe sina surual ya kitambaa hata moja

Nyie wenye wapenz washamba mna moyo sana endeleen na wapenz wenu

maana demu mshamba hata kumlamba jicho huwez
Hata kuingia uvinza huwez, maana ukifanya hivyo atakuona wewe ni mhun sana

NANYUPU

LONDON BABY
Mkuu ahana naye huyo sio wa type yako atakusumbua. Kwa kweli madem wa aina hiyo siri wanaboa mno. Videm kama hicho cha kwako hata wakati unakimega ukikikunja kidogo tu kinakuona mhun. Na wakati mkiwa faraghani utakikuta eti kinang'ang'ania kuvaa nguo badala ya kujiachia. Hadi hamu ya kumega tunda la katikati inapotea kabisa. Na bahati mbaya videmu kama hivyo havionyeshi majonjo ndanj ya 6×6....lakini kikikutana na mhuni mmoja wa mtaani anakiinamisha vilivyo! Ni shiiiiida kweli kweli.
 
ngoja umpate mjanja zaidi yako ndo utajua duniani kila mtu ni mjanja na sehemu zake.

leo umemuona mshamba jwa mavazi na comunication . siku umpate wa juu akuambie na wewe ni mshamba kitandani sijui utajisikiaje!

duniani hakuna mjanja ila tunapretend tu.
km yupo niambie
yupo wapi mjanja alieiumba dunia?
yupo wapi mjanja alie tengeneza haya maji tuyaonayo?

yupo wapi mjanja alietuumba na kutufanya tuishi na kufa kwa wakati atakao? n.k
huyo alievifanya hivo vyote na vile nilivoviacha basi huyo ndie mjanja kuliko wote.

hope u gott me.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom