Inahitaji moyo sana kuishi na mpenzi mshamba mshamba

Inahitaji moyo sana kuishi na mpenzi mshamba mshamba

Tatizo fikra tofauti,
Siku hizi hakuna mshamba tena utandawazi unakuwa kwa kasi mno.
 
doh! yaani juzijuzi nimepata demu wa aina hii hapa nafikiria kumwacha kabisa
 
hivi ni wa mikoani eeeeh maana nayo hii imejaa ushamba tu
huwezi kuwa na mshamba kama wewe sio mshamba

tena mkuu hapa ni mshamba zaidi maana ameanika ushamba wake humu
Mbona siku hiz unanishambulia sana
 
Back
Top Bottom