nisemeje sijui hata pa kuanziaNifungulie uz kule chit chat
Andika nakupenda sana beira baby boynisemeje sijui hata pa kuanzia
niandikie tu niseme mie loooh
haaaaa hapo nitakuwa muongo na mimi sipendiAndika nakupenda sana beira baby boy
Alafu unashuka madude kama ifuatavyo
Mimi jjes nimetokea kukupenda kwa moyo wangu wote beira baby boy naomba uwe wangu wa maisha wa kufa na kuzikana, sina cha zaid ila nakukabiz moyo wangu mwaaaa
Bas hilo neno nakukabidh moyo wangu litoehaaaaa hapo nitakuwa muongo na mimi sipendi
huu moyo alishakabidhiwa mkuu fulani humu na siwezi sahau wema wake hadi nije sema uongo
mimi nakupenda tu sio mpaka kukukabidhi moyo loooh
upendo wangu kwako ni ule wa agape
hahahahahah halafu uje useme/kutoa uzi, dah nimekutana na jje's papuchi yake iko hivi na vileBas hilo neno nakukabidh moyo wangu litoe
Hahaaaaa siwez bhana kuwa na aman kabisa mtu wangu mimi ni mtu simple sana hivyo usiogope mpendwa wewe hebu anzisha uz bhana unaogopa kitu ganhahahahahah halafu uje useme/kutoa uzi, dah nimekutana na jje's papuchi yake iko hivi na vile
maana naona unadiscribe types za papuchi ulizokutana nazo kule chit chat au utaniweka kwenye general group?
wewe ni hatari lakini salama
teh teh
Mbona hujachangia kwenye huo uzihahahahahah halafu uje useme/kutoa uzi, dah nimekutana na jje's papuchi yake iko hivi na vile
maana naona unadiscribe types za papuchi ulizokutana nazo kule chit chat au utaniweka kwenye general group?
wewe ni hatari lakini salama
teh teh
Uwe unanisaidia number zao mkuu hao ndio kiboko yanguAisee mi siwatak kabisa saiv
sikuona cha kusema hapo nimepita tu ila baadae unae mimi kama mchangiajiMbona hujachangia kwenye huo uzi
usiwaze kuwa mpole tunapambana kutafuta unga wa kuishiMbona nimechungulia kule bado tu hujaanzisha uz
Nilikua najua vyote vitambaa kumbe sivyo Ahsante.Ndio sio kitambaa ulikuwa unataka kusemaje mkuu