Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Hawa watu wana laana!Baada ya huu wizi wakaenda kuapishwa wameshika Biblia na Quran. Haya mashetani ni hatari sana.
Hawa watu wana laana!Baada ya huu wizi wakaenda kuapishwa wameshika Biblia na Quran. Haya mashetani ni hatari sana.
Mnafiki tu wewe!Unafikiri basi hizo ni siri, huo ni ubabe makusudi kwamba tunafanya hivi na hamtufanyi lolote wala kushtaki popote...
yaani CCM waiogope CHADEMA kabisa? wazee wa kupiga domo mitandaoni huku upo nyuma ya keyboard ume activate premiun vpn...
Kama Zanzibar Seif alifanyiwa kiini macho mpaka US ikaingilia na haikusaidia kitu, ndugu zangu siasa hazitowasaidia chochote, mmekwisha kwenda kushtaki hadi kwa mabeberu lakini hakuna matokeo yeyote... huwa naamini kwamba hii nchi wananchi ndio wataamua nchi iende kulia ama kushoto, hii nchi nyie CHADEMA hamtofanya lolote, zaidi bungeni mmetolewa almost wote, mmebaki kulia tu twitter na mitandaoni...
Hili taifa ni wananchi ndio watakuwa na mustakabali taifa liende wapi, tamaa zenu za fisi kumkaribisha Lowassa, wananchi wakaona hamueleweki kama sigara nyota...
CHADEMA mmekwisha, Mbowe mungu amsaidie ashinde hio kesi, yaani mmekwisha ndugu zangu hamna jipya..., mwenzenu mzee Slaa anakula huko mema ya nchi..., yule dada enu Mdee kawageuka chap..
uzuri mie sipo CCM wala CHADEMA, mie nawapa tu ukweli mchungu...
Kampeni zenu zenyewe watu walikuwa wana stream youtube na hamkufanya lolote, hakuna hata TV moja ilikuwa inaonyesha kampeni zenu, lakini wadau mmekomaa tu,katibaaaa!!!! katibaaaa!!!, tunaibiwaaa, tunaibiwaaaa, tunaibiwaaa, kila siku nyimbo ni zile zile...
Nyie komaeni tu muendelee kufukuzia hizo ruzuku, mpate hata pesa za kuweka mafuta kwenye gari... niipofika hapa niendelee tu mishe zangu hizi siasa wengine wanafanya kama hobby lakini sio userious wa kuleta mabadiliko ya kweli...
nakaribisha matusi...
Neno 'huwa' linatumika katika wakati uliopo wa mazoea (simple present tense) kumaanisha kwamba tendo fulani limekuwa likijirudia mara kwa mara. Let's come to the point, "wapinzani huwa wanakodisha wagombea" hivi ni mara ngapi wapinzani wamewahi kusimika wagombea waliohamia kutoka upande wa pili? Mimi kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa mgombea pekee wa kiti cha urais aliyekodiwa upande wa Chadema ni Edward Lowasa pekee huku Bernad Membe akijaribu kuingia kwenye kinyang'anyiro mnamo mwaka 2020 kupitia ACT, sina kumbukumbu ya hao wengine wengi ambao wamekuwa wakikodiwa kila ufikapo muda wa uchaguziKaribu kahawa swahiba
View attachment 1964696
Sidhani kama wanaweza...labda ofisi ya msajili ifutwe.CHADEMA wanaweza sana kuzuia uchaguzi wowote wa nchi hii kufanyika. Ni swala la kujipanga tu na kutimiza mipango hiyo kwa ufanisi mkubwa.
Acha uongo wewe. Unajua siyo kweli ndiyo maana unajidaii kutumia neno "inadaiwa"Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Unajua kabisa hiyo clip siyo ya Tanzania na umeitoa kule facebook lakini unaiweka hapa kujifurahisha . Acha hizo siasa za kitotoWazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Wee unawasikliiza nyumba .unapata wap mda wa kujadiliana naoNi upumbavu kutaka tuamini hilo kama ni kweli,
Kama mtu unaiba kisha unajichukua video, sasa huo ni wizi gani?
Hiyo picha inadhibitisha vipi kuwa ni ya uchaguzi na ilipigwa kabla ya kuhesabu au baada ya kuhesabu.
Au mnataka tujadili vitu ambavyo ahavina tija na ni vya umbea.
Ndiyo maana wanakufa hovyo. Biblia ama Quran havizihakiwi.Baada ya huu wizi wakaenda kuapishwa wameshika Biblia na Quran. Haya mashetani ni hatari sana.
Nguvu ya umma haizulikiSidhani kama wanaweza...labda ofisi ya msajili ifutwe.
Naona umeamua kujipakulia minyama.Hii video nilichukua mimi kwa simu yangu
Huo ni mtazamo wako. Hakuna chama kilichoanzishwa kikose msingi, maono na ushawishi. Sijui unaishi nchi ya "Kusadikika" ambako huwenda uliyoandika hapa yana ukweli pasi na shakaVyama pinzani haviwezi shinda sababu havina mtaji tuu basi, hizo zingine ni blah blah
Hakuna mfumo unaoweza kuishinda nguvu ya umma. Tuseme ukweli tuu kwamba wapinzani hawana msingi, maono wala ushawishi
hapa kwanini magufuli asife? Mwenyezi Mungu hataniwi, aliiba kura sana kuwaweka watu wake sasa yupo wapi? tuna lakujifunza jamani tuishi kwa mujibu wa sheria tulizojiwekea wenyewe, kamwe hamana aliye juu ya sheria.Wazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
kazi iendeleeWazalendo wameanza kuachia hadharani mambo machafu yaliyotendwa kwenye kile kilichoitwa uchaguzi mkuu wa 2020 .
Toleo la sasa ni video inayoonyesha wizi wa kishamba sana wa kura ulivyofanyika , tena chini ya watu walioaminiwa kulinda usalama .
Hebu jionee mwenyewe.
View attachment 1964679
Majina ya Wahusika wote yamepatikana , ila yanahifadhiwa kwa muda kwa sababu za kibinadamu
Hudhani, au huelewi?Sidhani kama wanaweza...labda ofisi ya msajili ifutwe.