Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,788
- 51,554
AisehKuingia na kujihusisha na mahusiano,huwa nawaza kwa baadae nikiwa na mke sijui nitaishije ishije[emoji23]
AisehKuingia na kujihusisha na mahusiano,huwa nawaza kwa baadae nikiwa na mke sijui nitaishije ishije[emoji23]
Nikiamua kunena kwa lugha nanena,nikiamua kuwa miyeyusho nakuwa miyeyusho mpka najiogopa😅😅ndo maisha lakiniwe kuweza😂😂
Hicho ndicho kitakachotokea kesho madamKirua mangi uwiii sitakii
nimeghairi kabisaHicho ndicho kitakachotokea kesho madam
niambie nakukuta wapiMie sina neno nae
Nasubiri neno lake anipe location kesho 😄
Niambie wewe nije wapi 😂niambie nakukuta wapi
Mimi hata siku hiyohiyo mana unakuta na magoma kama yote,nachofanya narudi kwenye makoloni mengineWasaalam.
Wanabodi na wataalam wa mahusiano, inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine mapya baada ya kuachana na uliekua katika mahusiano?
Je, inashauriwa kuchukua muda gani kabla ya mahusiano mengine mapya?
[emoji41]Tusiowahi kuwa na mahusiano hadi saivi, tuna comment wapiii?
Nawazoom tu mnavyorushiana viunzi🤝🤝Niambie wewe nije wapi 😂
Mzima honey..Tusiowahi kuwa na mahusiano hadi saivi, tuna comment wapiii?
Mie mzima dea, n mic u moaaaah [emoji3590],Mzima honey..
[emoji28][emoji28]nyie endeleeni kusoma comments tu