Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

Utakavyoona tu. Yaweza kuwa hata after 2 hrs
 
😂😂😂😂 Yani hapa uchague moja Kati ya haya mawili..twende kwa mwamposa tukafanye maombi ya uponyaji was mioyo au tukamsake Chakorii popote alipo iwe kwa tochi au darubini lakini lazima tumpate hiyo kesho..chagua moja
😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kiboya mno...tena huyo mwenye moyo unaowaka moto kwa mwamposa kutamfaa sana🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
 
Mkuje mkuje mkujeeeeeeeeeeee.....huyo cute eyes mwenye kupenda nyama mwambie kuna kinyau kinanisumbua sana hapa nyumbani nitamchinjia ale mishkaki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kinyauuu!!! Jesus ..wewe sii mtu mzuri Walaah tena!!..@cute eyes Bora tu uje kwangu..nishaghairi kuandamana kwa huyu mtu
 
😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kiboya mno...tena huyo mwenye moyo unaowaka moto kwa mwamposa kutamfaa sana🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Mpaka dakika hii jibu limeshapatikana tutakwenda kwa mwampopile hatuna namna..huyo nyau wako umle mwenyewe..nitajichanga nikamlishe cute mishikaki ya cocobeach..baada ya kutoka kwa mwamposa😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kinyauuu!!! Jesus ..wewe sii mtu mzuri Walaah tena!!..@cute eyes Bora tu uje kwangu..nishaghairi kuandamana kwa huyu mtu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbna cute eyes kapotea au ndo yuko buzy baba fred ismail hassan nini😉😉😉

cute eyes naomba uiwakilishe nchi vizuri huko ulipo tafadhali
 
Mpaka dakika hii jibu limeshapatikana tutakwenda kwa mwampopile hatuna namna..huyo nyau wako umle mwenyewe..nitajichanga nikamlishe cute mishikaki ya cocobeach..baada ya kutoka kwa mwamposa😂😂😂
Hebu tumsubiri cute eyes atoke huko pm kwanza tuone kama ataikataa offer yangu ndipo umchukue huko coco kwenu😎😎
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbna cute eyes kapotea au ndo yuko buzy baba fred ismail hassan nini😉😉😉

cute eyes naomba uiwakilishe nchi vizuri huko ulipo tafadhali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Itakuwa anaandaa mazingira ya kesho huyo...maana si kwa ukimya huu...

Kwakweli atuwakilishe vyema..huenda kesho safari ya kwa mwampo ikagharishwa tukaenda hata haiyati kula kuku kwa mrija..😋😋🤸🤸🤸
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Itakuwa anaandaa mazingira ya kesho huyo...maana si kwa ukimya huu...

Kwakweli atuwakilishe vyema..huenda kesho safari ya kwa mwampo ikagharishwa tukaenda hata haiyati kula kuku kwa mrija..😋😋
Yani afanye afanyavyo aweze kuipeperusha bendera vizuri..sasa ole wake🤪🤪🤪

Inabidi tumkazie asiruke viunzi😎😎

Huko ulipo endelea kusali kesho mwende hyatt madam😅😅.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nahakika hatotuangusha...

cute eyes pliiziiiii fanya ufanyavyo kesho twende tukale kyukyu kwa mrija..😋😋😋🤣🤣🤣

💃💃💃
 
😂😂😂😂 Yani hapa uchague moja Kati ya haya mawili..twende kwa mwamposa tukafanye maombi ya uponyaji was mioyo au tukamsake Chakorii popote alipo iwe kwa tochi au darubini lakini lazima tumpate hiyo kesho..chagua moja
Twende tukafanye maombi tu 😂😂😂
 
Mpaka dakika hii jibu limeshapatikana tutakwenda kwa mwampopile hatuna namna..huyo nyau wako umle mwenyewe..nitajichanga nikamlishe cute mishikaki ya cocobeach..baada ya kutoka kwa mwamposa😂😂😂
ndo maana nakupenda😍😍 sasa shida usafiri wa kutoka huku kwetu mwee😂😂
 
Back
Top Bottom