Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

Sidhani kama haya mambo yana sheria but I think whenever you feel like you are ready or comfortable. But it depends on ,
1.Ni nani amekatisha hayo mahusiano.
2.How long the relationship lasted.
3. Sababu ya kuachana.
4. Umeipokea namna gani hiyo break up.

Maelezo,
Kama umeishi na mtu miaka mitano na mkaachana kusahau na ku-move on gharama yake ni tofauti na mtu mliyekuwa kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa.

Kama wewe ndie uliyekatisha haya mahusiano, unaweza kuchukua muda mfupi kuingia kwenye mahusiano mapya kwa sababu hautakuwa na maumivu sana, ni maamuzi yako. Lakini aliyeachwa anakuwa na maumivu zaidi na hasira na kujutia hivo ni vizuri kama akichukua muda ku-heal.

Sababu ya kuachana ni ipi? Wengine wanaachana kwa sababu wamekubaliana kwa sababu nzuri tu. Labda wameona hayo mahusiano hayana maana, au wanawapenda watu wengine. Mfano, wewe unadate na mtu lakini yeye anampenda mtu mwingine. Mnakubaliana kila mtu aende kwa ampendaye. Kwahiyo unaweza kudate mwingine hata lisaa baada ya kuachana.

Having said that, inabidi tu uingie kwenye mahusiano pale unapohisi upo tayari, na sio kwa sababu unataka faraja kwa muda huo au una huzuni au unataka kum-show Ex wako.

very true....
shida inakuja wengi wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya kutafuta faraja tu na kujiponya maumivu yao [emoji22][emoji22] wakishapona sasa [emoji18] wanaenda kutafuta wanaowapenda
 
bebe mi nshapiga moyo konde ohooo[emoji23][emoji23][emoji23] niko single and ready for mingle [emoji23][emoji23][emoji23]
Wajuba wanakucheki tu bae...angalia pm yako leo itakuwa buzy mno usisahau trafic light kueka.

😅😅😅hukupenda wewe walah...
Single&readyformingle..😳😳😅😅😅u cant be sirias aise...

Halafu kesho ni holiday honey jitahidi kucheza karata vizuri😉😉😉long wikend a....🤣
 
weeeee wa PM siwataki mie 😂😂😂 bebe ungeniona wallah ungenionea huruma nilikua nalia mie kama mtoto 😂😂 sema natania am not ready for mingle 😂😂😂
sitaki kuamini sijapata mualiko mpaka leo Depal kesho tunaenda wapi
 
Hili sio jambo la kujadili mkuu....
Ukikata mti, wepanda mti...[emoji849][emoji849][emoji849]
 
weeeee wa PM siwataki mie 😂😂😂 bebe ungeniona wallah ungenionea huruma nilikua nalia mie kama mtoto 😂😂 sema natania am not ready for mingle 😂😂😂
sitaki kuamini sijapata mualiko mpaka leo Depal kesho tunaenda wapi
Naendelea kukuzoom tu😂😂😂hapa sijaelewa my cute eyes hayo machozi ya kama mtoto ni ya kupigwa chini...😄😄au kumpiga mtu chini..ufafanuzi uanzie hapa kwanza mwaliko utafuata nyuma🤣🤣
 
Naendelea kukuzoom tu😂😂😂hapa sijaelewa my cute eyes hayo machozi ya kama mtoto ni ya kupigwa chini...😄😄au kumpiga mtu chini..ufafanuzi uanzie hapa kwanza mwaliko utafuata nyuma🤣🤣
😂😂😂bebe we nialike tukiwa tunakula nyama pale ndo nianze kukuelezea vizuri😂😂
 
don worry bebe we nunua tu i'll cook for my self 😊 wakati nala nyama we utakua unakula majani ya kunde sijui sukuma wiki 😂😂
Kesho ishakuwa booked honey..ngoma mpka jumapili😉😉😁😁😁😎😎😎tusubirie holidei nyingine my cute eyes twende beach ya maporini huko tukabadilishe upepo 🏊‍♀️🤸‍♀️🍔🥗🍲🍤🥘🍛🥙🍝🍽🍸🍹🥃🥂tusahau shida kwa muda
 
from the day you have been kicked off from the previous relationship up to the time that you started being in new relationship...
 
Kesho ishakuwa booked honey..ngoma mpka jumapili😉😉😁😁😁😎😎😎tusubirie holidei nyingine my cute eyes twende beach ya maporini huko tukabadilishe upepo 🏊‍♀️🤸‍♀️🍔🥗🍲🍤🥘🍛🥙🍝🍽🍸🍹🥃🥂tusahau shida kwa muda
kwahiyo kesho nalala tu nyumbani
 
Depal Joanah na yna2 sidhani utakosa chochote kwa hawa watu😎
We nae si uache pm wazi upate mialiko huko..
Utajibana mpka lini wakati uko kwenye wakati wa mvurugo🤣😅

Hebu ruhusu wajumbe wakuje pm huko we nae😎😎
😂😂😂😂 Naona unataka aazime jamvi kwenye matanga eeh🤣🤣🤣 nilikuwa najiandaa kukupm unipe mualiko ujue..
 
😂😂😂😂 Naona unataka aazime jamvi kwenye matanga eeh🤣🤣🤣 nilikuwa najiandaa kukupm unipe mualiko ujue..
mi ata sili sana 😂😂😂nakula nyama tu
 
Back
Top Bottom