Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

Wasaalam.

Wanabodi na wataalam wa mahusiano, inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine mapya baada ya kuachana na uliekua katika mahusiano?

Je, inashauriwa kuchukua muda gani kabla ya mahusiano mengine mapya?
Kwa mujibu wa wana saikolojia

1.ikitokea umeachwa hakikisha unaanzisha mahusiano mapya fasta bila kupoteza muda hii itakusaidia kukuponya .

2.kama umeacha vuta miezi sita
 
Mie si nimesema jamaniiih dea, sijawahi kuwa ktk mahusiano, mie nikiwa ndani ya wawili lazima ujue yaan. Wee ndo mkubwa ndo uanze hivyooh lol
Ngoja kwanza nipate Breakfast kwanza nitarudi..sawa honey wangu ee😅😅
 
Sidhani kama haya mambo yana sheria but I think whenever you feel like you are ready or comfortable. But it depends on ,
1.Ni nani amekatisha hayo mahusiano.
2.How long the relationship lasted.
3. Sababu ya kuachana.
4. Umeipokea namna gani hiyo break up.

Maelezo,
Kama umeishi na mtu miaka mitano na mkaachana kusahau na ku-move on gharama yake ni tofauti na mtu mliyekuwa kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa.



Sababu ya kuachana

Haya mm yamenikuta msichana mwenye jeraha anatia sana huruma, xpectAtions zna haribu sana wadada
Kuna kadad kazuri kalikuwa kwny mahusiano na baharia kwa miaka 7 na n 1st ♡ wake huyu dada alivyoshika tu D jamaa kamwambia toa mm simtaki huyu mshikaji asain ktabu cha kumbukumbu visa vikaanza hapo dada kakaaa na ile D hadi ikatoka yenywe 7bu ya stress na alikosa uangalizi wa karbu (madai yake)...

Wakaachana akaja àkatua kwangu too early

Sasa mm zawadi za hapa na pale upendo mwngi kumtembelea kwake, outing ndogondogo, ila kila nikimshika analia..

S ndo afunguke sasa kwamba hastaili penzi langu mm nampenda mno ila yy ana lag behind this time akagundua bado aja heal vzuri, akasema naomba twende break

Inawezekana nimeelezea kawaida sana ila ilikuwa scene nzuri sana machozi kama yote nikamwambia sawa mm ndo nmekuchagua usilie sana nna kupenda knyama 😆
 
Sidhani kama haya mambo yana sheria but I think whenever you feel like you are ready or comfortable. But it depends on ,
1.Ni nani amekatisha hayo mahusiano.
2.How long the relationship lasted.
3. Sababu ya kuachana.
4. Umeipokea namna gani hiyo break up.

Maelezo,
Kama umeishi na mtu miaka mitano na mkaachana kusahau na ku-move on gharama yake ni tofauti na mtu mliyekuwa kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa.

Kama wewe ndie uliyekatisha haya mahusiano, unaweza kuchukua muda mfupi kuingia kwenye mahusiano mapya kwa sababu hautakuwa na maumivu sana, ni maamuzi yako. Lakini aliyeachwa anakuwa na maumivu zaidi na hasira na kujutia hivo ni vizuri kama akichukua muda ku-heal.

Sababu ya kuachana ni ipi? Wengine wanaachana kwa sababu wamekubaliana kwa sababu nzuri tu. Labda wameona hayo mahusiano hayana maana, au wanawapenda watu wengine. Mfano, wewe unadate na mtu lakini yeye anampenda mtu mwingine. Mnakubaliana kila mtu aende kwa ampendaye. Kwahiyo unaweza kudate mwingine hata lisaa baada ya kuachana.

Having said that, inabidi tu uingie kwenye mahusiano pale unapohisi upo tayari, na sio kwa sababu unataka faraja kwa muda huo au una huzuni au unataka kum-show Ex wako.
Well said
 
😂😂😂naona umeamua kuconclude
Mi mtu mzima bhana....
Mambo gani tena unataka leta wewe😅hebu piga kimya mkule laifu huko..

Kumbuka kuliwakilisha taifa vizuri kwenye hiyo nchi ya kigeni.

Baba Fred endelea kukaza mwana🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Mi mtu mzima bhana....
Mambo gani tena unataka leta wewe😅hebu piga kimya mkule laifu huko..

Kumbuka kuliwakilisha taifa vizuri kwenye hiyo nchi ya kigeni.

Baba Fred endelea kukaza mwana🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
😂😂😂😂mbona baba fred😂😂
 
Nina madem 7 akitoka mmoja sionagi shida labda nisake nyingine for replacement tu😀
 
Back
Top Bottom