Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

yakinishinda mbio😂😂
Mbna utashindwa na vingi😅😅hebu pambana huko we nae usiachie kitu kirahis rahisi hivyo.sasa sio upigane kwa ngumi madam..pigana kwa upendo😅😅wozah
 
Ulishawahi kula majani ya kunde,mgagani,mchunga,mchicha,mnavu,biringany,ngogwe,bamia zote zimechanganywa pamoja!!kwa mtu kama wew lazima uharishe wallah😅😅sasa hicho ndicho kinatatokea kesho
Kirua mangi uwiii sitakii
 
Back
Top Bottom