Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

Inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine?

Wasaalam.

Wanabodi na wataalam wa mahusiano, inachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano mengine mapya baada ya kuachana na uliekua katika mahusiano?

Je, inashauriwa kuchukua muda gani kabla ya mahusiano mengine mapya?
Mm nna mahusiano mengi sana akiaga ligi shaur zake maana wanawake wamenizunguka na siri ya mwanaume hepuka kumpenda mwanamke jipende ww utaona kila kitu ni sawa
 
weeeee wa PM siwataki mie 😂😂😂 bebe ungeniona wallah ungenionea huruma nilikua nalia mie kama mtoto 😂😂 sema natania am not ready for mingle 😂😂😂
sitaki kuamini sijapata mualiko mpaka leo Depal kesho tunaenda wapi
😂 😂
Mke mwenza kwanini ulie mwenyewe namie nipo jamani!! Kwani Pep keshaharibu wapi mume wetu huyu naye!?
 
🤣🤣🤣🤣 Akuuu..nimesema tu ukweli..huku apecheeee..labda aje tuandamane uko ulipo hata Kama kwa kuvamia tupo tayari au wasemaje cute eyes??..😂😂
Mkuje mkuje mkujeeeeeeeeeeee.....huyo cute eyes mwenye kupenda nyama mwambie kuna kinyau kinanisumbua sana hapa nyumbani nitamchinjia ale mishkaki
 
Back
Top Bottom