Chini ya uvuli wa mauti Bwana huniongozaSauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia
Britanicca
Mbona kama unawasanua walio nje ya maji!?Sauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia
Britanicca
Tutafute champagne kabisa, au?Sauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia
Britanicca
Binadamu wengi wana uraibu wa aina fulani unaofanya akili isifanye kazi yake kwa kiwango kwenye baadhi ya mambo..wewe unayo hii hali hata km hujui uko nayo.Itajirudia again but after a ver very long time
And your research is based on single comment from there unakuja na na weak conclusion ?Binadamu wengi wana uraibu wa aina fulani unaofanya akili isifanye kazi yake kwa kiwango kwenye baadhi ya mambo..wewe unayo hii hali hata km hujui uko nayo.
Yaani wale wafanya vurugu wangekua na silaha wangeshinda,nyi watu vyombo vya Dola mnavichukuliaje?!..yaani raia uwe na AK 47 ushindane na na snipers na kikosi maalum Cha tiss Cha kupambana na ugaidi,jwtz,polisi!?..mtakufa kifalaWenye nguvu kama huna jeshi ni ngumu kuwashinda kwa kupiga kelele.
Ile MO29 isingewezekana bila msaada wa Silaha. Kama silaha zingekuwepo mtaani wale waliojitokeza walitosha kabisa kugeuza mawe.
Lakini huna silaha, huna mipango, huna pesa, unawezaje kushinda
Nyerere wa kuchoma kmmk
Zitasikika baada ya kuchoka sana, samaki wakiwa wamenasa ndoano na walio nje watawavua kirahisi bila kutumia baruti..!!Sauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia
Britanicca
"Inachezwa chini ya maji mno"Sauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia
Britanicca
britanicca hana lolote na vi codes vyake. Shauri yenu mnayemuaminiNi vyema ukala buyu, ukaja kutupa matokea. Unachofanya hapa ni kuwasanua