Inachezwa chini ya maji mno

Inachezwa chini ya maji mno

Wanamtandao ni ngumu Sana kuwadondosha

Labda nature iseme inatosha sawa

Tulishindwa October 29 sizani Kama itajirudia
Mitego ya kifo huwezi kuishinda siku zote utanasa TU!

Oct 29 hakukua na lengo la kupindua meza bali kupata reaction Toka kwao Ili kuhalalisha next stage ya mgawanyiko mkuu ambao drama na spinning zao haziwezi kufua dafu!

Tujuulize Kwa pamoja je :-

Desert mission= sio october 29 via no reform no election!!?

Code PJLK= Sio elimination process or intimidation process Kwa walengwa via TFF!!?

Mchezo unachezwa deep kwenye maji Hadi milio itakapo sikika= Hii inafanana na "Taarifa zinatoka juu kurudi chini yaani huko juu ndipo walipo Mossad, CIA,,M16!

Thabit kombo alilopoka kwamba "vurugu za Oct 29 zilianzia nje ya nchi na sio ndani!

This means mchezo unachezewa huko majuu kuingia ndani desert na huo mchezo ni akili kubwa sana hata recruitment ya uvccm pale TISS wasingejua na kujaribu ku de code labda RIP shemeji yangu mnyalukolo wa Tosa maganga comrade Mahiga angenusa huo ugoro na walau kushauri mapishi ya maana ili harufu yake inge wachenga paka wenye suit nyeusi wa majuu!!

MAPISHI yapi hayo!!?

A compromised upinzani uliopewa serikali mseto wenye maana kama matokeo ya uchaguzi 2025 ,Chadema the main threat ingekua neutralized kitaalam!tunge ua morali ya vijana wanaotaka mabadiliko watulie walau!!

Sisi kama chama tulifanya Nini basi!!?

Tulitumia mbinu za kijima kupambana na nyakati za kileo mtego mkuubwa sana kuuepuka!!

Hao unaowaita wanamtandao wangekua smart wasingeruhusu mauaji Oct 29!labda kama wao ni sehemu ya mpango kazi wa kumtosa yona labda tukubabaliane hivyo!!
 
Haya mambo anayosema Tito lemmo ni mambo gani jameni kwenye nchi yetu ????
RESILIENT KATO
RESILIENT KATO
Mchezo unachezwa deep kwenye maji=" Taarifa zunatoka juu kurudi chini-desert mission" by Tumia akili= "vurugu za uchaguzi za oct 29 zilianzia nje ya nchi" Thabit kombo waziri!!

Maana yake nini:-

Desert mission yaani mission nchi kavu inaendelea baada ya kuhalalishwa na damu kumwagika oct 29!Damu ilikua mtego ambao sasa umehalalisho mhawanyiko mkuu kupitia Tanzania football federation TFF!

Hiyo TFF imekuja baaada ya mauaji ya 29 Oct 29!

Tff ni intimidator Kwa wakubwa ili wawe na option mbili;-

1.kukimbia nchi Ili deep water wafanye wanachokitaka

Au

2.Wasubiri RIP wakiwa kwenye viti vyao!!

Hatari no kwamba:-

Recruits wa uvccm ndani ya tiss hawana uwezo wa ku sense hatari zaidi ya kuhangaika na script waliochorewa na poor thinking ya kufunga wapinzani na kuwaua wasio na hatia!

Mapishi yapo majuu huko deep walipo mossad, CIA na M16 and co!!

Signature Yao ndio hatari "Right there where you are" the state hao!!

Chukua na hii niliwahi soma sehem:-

St. Peters church hapo posta = Eti ni st.petersburg ya Russia

The state= no United States of america!

Hizo no taasisi mbili tofauti kiutendaji

Je inamaana kimedani nchi yetu imegawanywa pande mbili zinazo pambana !!?

Angalia Tumia akili anavyoandika"Pale st.peters kuna wale wenye kuwalinda wakubwa na maslahi binafsi,wapo wanaoshughulikiwa na baada ya muda hawatokuwepo!!

"Wao the state wametoa muda mpaka mwakani (2022) mchakato wa kitabu uanze,nasikitika kusema kuwa mtajwa (madam p) asipofanya mapema itakua too late kwake" kwenye Uzi wa Operation imesitishwa the state wamesema apewe muda!

Anaongeza" st.peters na the state ni taasisi mbili tofauti"

Je st. Peters ni taasisi ya kijani!!?

The state ni taasisi ya Taifa pekee!!?

Specualtive najaribu!
 
Guys guys guys..
Nini hiki tena!? alieelewa code pliz..
View attachment 3555950
Hahahah
Guys, guys, guys
Anaendeleza maigizo yake huko mikoani. Hajui hata serikali inafanya vipi kazi licha ya kukaa serikalini muda mreeefu.
Matatizo yaliyoshindwa kutatuliwa na chama chale kwa zaidi ya miaka 60 kabla hajazaliwa Anaya solve kwenye mkutano wa saa 1
 
Back
Top Bottom