Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 419
- 798
Kwani upande wa wazalendo bado wana pumzi jamani?
😓😓
😓😓
MmhhhhSauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia
Britanicca
Kivipi mkuu funguka zaidiKweli very deep!!
mume RIP ni sehem ya mchakato!!?
Jf home of great thinker'sKivipi mkuu funguka zaidi
Inawezekanaje wamzuie kwenda majuu wakati ni wakala wao Tz na ukanda huu wa maziwa makuu pamoja na RA?alizuiwa kwenda majuu
Ngumu kumzuia kwa kuwa yeye ndiye Rais Kivuli, anafika kule ambako Gagu hafiki kwa sasa, kwa hiyo kazi za nje za Gagu ziko kwake.Inawezekanaje wamzuie kwenda majuu wakati ni wakala wao Tz na ukanda huu wa maziwa makuu pamoja na RA?
Wala hajaanguka jk, ila huwa anatengeneza propaganda na kutaka attention kutoka kwa watanzania,msibani!Leo kuna tetesi ya kuugua Kwa JK!