Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Wakuuu, nimemsikia mgombea mmoja akizungumzia picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamiii zikionesha nyomi ya mikutano Ya Lisu na kusema kuwa zile Picha sio za Mwaka huuu ni za Mwaka 2015, wakuu hili sio Jambo dogo Kama mnavyofikiria maana yake mzee haaamini hata kidogo kuwa zile nyomi ni za mikutano ya Tundu Lisu, Lakini nimegundua kuwa mzee Kuna mtu wa pembeni anamdanganya ili kumfanya asipanic, huyo anaemdanganya mzeee anakosea Sana maana Siku akija kugundua ukweli atakuja kufa Kwa presha mzee wa watu
Yaani mzee anakataaa kabisa kuwa ile nyomi sio ya Mwaka huu? Tobaaaaa
Nauliza swali, hivi wakuu kumbe mzee anachunguliaga kwenye fb na twitter? Hahaha, aaaahhhh mzeee ukichungulia usiwe sasa unakuja tena kusimlia boss!
Wewe mtu mkubwa sana baba usiwe unakuja kusimlia huku kuna wapambe watakujadili Mkuu, uwe unapotezea tu ili maisha yaende ndio hivyo watanzania ni wakimya wanasubiria firimbi tu waoneshe hasira zao
Mzee atakuwa anatazama akimaliza anakuja kuwauliza watu wake kuwa hivi ile ni kweli Au macho yangu? Wasaidizi wanamwambia mzee ile ni ya 2015, hivi mzee na wewe umezidi kudanganyika yani hata hujui umbo la Lisu na Lowassa? Ok basi ngoja tuwaambie wachukua Picha wawe wanamchukua Lissu kwa mbele na wewe Lissu kuanzia sasa uwe unaitazama kamera bhana
Eee MUNGU Wangu ubarikiwe maaana had askofu Pengo kaombwa msamaha, na jina la bashite limeamuliwa kuzikwa haya yoote hawaamini ujio wa tundu lisu kuwa ungeleta hali hii