Ina maana haamini kuwa picha anazoona ni za mikutano ya Tundu Lissu?

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Wakuuu, nimemsikia mgombea mmoja akizungumzia picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamiii zikionesha nyomi ya mikutano Ya Lisu na kusema kuwa zile Picha sio za Mwaka huuu ni za Mwaka 2015, wakuu hili sio Jambo dogo Kama mnavyofikiria maana yake mzee haaamini hata kidogo kuwa zile nyomi ni za mikutano ya Tundu Lisu, Lakini nimegundua kuwa mzee Kuna mtu wa pembeni anamdanganya ili kumfanya asipanic, huyo anaemdanganya mzeee anakosea Sana maana Siku akija kugundua ukweli atakuja kufa Kwa presha mzee wa watu

Yaani mzee anakataaa kabisa kuwa ile nyomi sio ya Mwaka huu? Tobaaaaa

Nauliza swali, hivi wakuu kumbe mzee anachunguliaga kwenye fb na twitter? Hahaha, aaaahhhh mzeee ukichungulia usiwe sasa unakuja tena kusimlia boss!

Wewe mtu mkubwa sana baba usiwe unakuja kusimlia huku kuna wapambe watakujadili Mkuu, uwe unapotezea tu ili maisha yaende ndio hivyo watanzania ni wakimya wanasubiria firimbi tu waoneshe hasira zao

Mzee atakuwa anatazama akimaliza anakuja kuwauliza watu wake kuwa hivi ile ni kweli Au macho yangu? Wasaidizi wanamwambia mzee ile ni ya 2015, hivi mzee na wewe umezidi kudanganyika yani hata hujui umbo la Lisu na Lowassa? Ok basi ngoja tuwaambie wachukua Picha wawe wanamchukua Lissu kwa mbele na wewe Lissu kuanzia sasa uwe unaitazama kamera bhana
Eee MUNGU Wangu ubarikiwe maaana had askofu Pengo kaombwa msamaha, na jina la bashite limeamuliwa kuzikwa haya yoote hawaamini ujio wa tundu lisu kuwa ungeleta hali hii
 
Za mwanzoni baadhi hazikua halali
Xa mwanzoni zipi hizo? Mbona Mimi sikuziona hizo za mwanzoni na mbona huo ufafanuz hajautoa, yeye anasema hizi hizi zinazotembea toka juzi maanaa lisu mwanzoni hakuwa na nyomi, kule Mbagara, pwani, mtwara na Zanzibar sasahivi ndio nyomi Ya kufa mtu na hakuna Picha ya lisu ambayo ni ya uongo zote ni za ukweli na huwa zinaambatana na video ili kuondoa kupotosha
 
Nilishauri kwenye moja ya bandiko CCM waachie uhuru wa vyombo vya habari ili waone hoja za wenzao waweze kuzipatia majibu kwenye mikutano yao. Ni hatari kama hoja zinazotolewa na upande mmoja hazitapatiwa majibu toka upande wa pili.

Mfano suala la wafanyabiashara kubambikiziwa kodi Rais Magufuli anaonewa kwani sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015 ilitungwa kwenye Bunge la Mwisho la Mh Kikwete na ilipitishwa kwenye kikao cha mwisho cha Bunge la Kikwete kabla ya Bunge kuvunjwa; Mh Raisi analaumiwa wakati yeye anasimamia tuu sheria ambayo ilipitishwa kabla hajawa Raisi wa Nchi.

Kwa hilo la kusimamia sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015, Mh Magufuli anatakiwa pongezi kwa kusimamia vema sheria iliyopitishwa na Bunge; hata hivyo kama kuna Ibara haijakaa sawa, ni vizuri akaahidi kwenye kampeni zake kuifanyia mapitio hiyo sheria; mimi kwa upande wangu Ibara ya 78 ina mapungufu inahitaji kufanyiwa mapitio.
 
Nilishauri kwenye moja ya bandiko CCM waachie uhuru wa vyombo vya habari ili waone hoja za wenzao waweze kuzipatia majibu kwenye mikutano yao. Ni hatari kama hoja zinazotolewa na upande mmoja hazitapatiwa majibu toka upande wa pili. Mfano suala la wafanyabiashara kubambikiziwa kodi Raisi Magufuli anaonewa kwani sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015 ilitungwa kwenye Bunge la Mwisho la Mh Kikwete na ilipitishwa kwenye kikao cha mwisho cha Bunge la Kikwete kabla ya Bunge kuvunjwa; Mh Raisi analaumiwa wakati yeye anasimamia tuu sheria ambayo ilipitishwa kabla hajawa Raisi wa Nchi. Kwa hilo la kusimamia sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015, Mh Magufuli anatakiwa pongezi kwa kusimamia vema sheria iliyopitishwa na Bunge; hata hivyo kama kuna Ibara haijakaa sawa, ni vizuri akaahidi kwenye kampeni zake kuifanyia mapitio hiyo sheria; mimi kwa upande wangu Ibara ya 78 ina mapungufu inahitaji kufanyiwa mapitio.
Hakuna mtu alietunga visheria vya ajabu ajabu vya kuumiza Kama Magufuli, usitake tufunue masheria Ya kishenzi, hayupo rais duniani alietunga sheria nyingi za kuumiza raia Kwa muda mfupi Kama magufuli, tuchukue moja tu Ya mafao, kuwa had ufike miaka 60 hata wewe ni mtetez wake Lakini unaipinga, maaana anaeikubali sio mzima
 
Hivi siku hizi katiba inafuatwa?
 
Mimi nimetolea mfano hoja moja tuu ya Wafanyabiashara kubambikiwa kodi kuwa ni kutokana na Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya Mwaka 2015 iliyopitishwa na Mh Kikwete baada ya Bunge kuipitisha Joyce joyce
 
Mwambie pia asidanganyike na wingi wa watu kwenye mikutano ya CCM. Watu wengi husombwa toka maeneo ya mbali. Wengi wanawake na vijana huenda kuangalia wanamziki. Ofisi za serikali zikiwemo shule hufungwa na kuamriwa kwenda mkutanoni.
 
Kwa maslahi yao huenda wamesha mwambia Mambo ni shwari,na kuwa sio za kweli, atakapo baini niza kweli kazi watakuwa nayo.
 
Nilishauri kwenye moja ya bandiko CCM waachie uhuru wa vyombo vya habari ili waone hoja za wenzao waweze kuzipatia majibu kwenye mikutano yao. Ni hatari kama hoja zinazotolewa na upande mmoja hazitapatiwa majibu toka upande wa pili. Mfano suala la wafanyabiashara kubambikiziwa kodi Raisi Magufuli anaonewa kwani sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015 ilitungwa kwenye Bunge la Mwisho la Mh Kikwete na ilipitishwa kwenye kikao cha mwisho cha Bunge la Kikwete kabla ya Bunge kuvunjwa; Mh Raisi analaumiwa wakati yeye anasimamia tuu sheria ambayo ilipitishwa kabla hajawa Raisi wa Nchi. Kwa hilo la kusimamia sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015, Mh Magufuli anatakiwa pongezi kwa kusimamia vema sheria iliyopitishwa na Bunge; hata hivyo kama kuna Ibara haijakaa sawa, ni vizuri akaahidi kwenye kampeni zake kuifanyia mapitio hiyo sheria; mimi kwa upande wangu Ibara ya 78 ina mapungufu inahitaji kufanyiwa mapitio.
Unapambia! Sheria za kodi zinabadirika kila kikao cha bunge la budget. Ndani ya miaka 5 hiyo Sheria iendelee bila mabadiriko na lawama kwa serikali ya mh Magufuli zipindishwe ni unafiki. Mfumo wa kodi Tanzania umewekwa makusudi kuneemesha wafanya kazi TRA. Zunguka sehemu nyingi utakuta wafanyabiashara wa ngazi sawa wanalipa kodi tofauti kwa sababu tu mmoja aliongea vizuri na mkadiria kodi. Mkadiriaji anajua fika kodi ni laki 5, anakwambia milioni na nusu, unaongea nae anakwambia 'kalipe laki 5, nipe laki 5, laki 5 nimekupunguzia!'
 
Umejadili kwa kiwango cha wafanya biashara wale wasiotengeneza mahesabu; huku bado ni bwereree maana ukishalipa hiyo uliyokadiriwa utakutana na TRA mwaka unafuata. Ngoma iko kwa wale wanaotengeza hesabu; baada ya muda ya kuwa umelipa kodi zako ulizojikadiria wewe mwenyewe, TRA hufanyia ukaguzi hizo kodi na kuja na ongezeko la kodi; ambapo ndipo watu wanaposema wamebakiwa lakini ni kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi, na ibara hatari kabisa in Ibara ya 78.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom