Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Amegoma kula wali eti ni "fyakula fya ndege" imebidi tutafute unga wa mtama na maziwa mtindi ndo kidogo katulia, ukimuuliza hapo vipi anasema "doho tabu"
mkoa gani?imalamagigo.. Unapafahamu?
laiti ungejua tumeshafunga njia zote za mawasiliano, njia za maji, njia za hewa, pamoja na njia za reli
imekula kwako na jinalo liko kwenye list nmecheki mtandaoni hapa unabisha!! sema Slave !!!!!
Tumekukosea nini wewe? We ulitaka nilishwe hayo ma kobe na magegerehahahahaaa!!!!!!! Chezea msukuma wewe!!!!
mkoa gani?
Kama hajambo au ana jambo wewe inakuhusu nini!....?? Hivi umebakiza kete ngapi kumaliza mzigo iliurudi tena Hong kong....!!??
Shinyanga karibu na imalabupina.
Tumekukosea nini wewe? We ulitaka nilishwe hayo ma kobe na magegereha
Nzuri..i.missed youSijambo mumy . . . habari yako?
Miss you too my dear. Mwenzako afya mgogoro siku hizi ndo maana napotea hivyo.Nzuri..i.missed you
Miss you too my dear. Mwenzako afya mgogoro siku hizi ndo maana napotea hivyo.
Zawadi nzuri kama unayo mpatiaga Arushaone ee? Kama ndivyo basi ntapitia hiyo zawadi
We ni.mojawapo wa.mabilionea wa arusha? Lol
Ndo waliobakia