Usisahau kumshika mkono kila mnapovuka barabara,,,,,,,, halafu mwambie asije akaenda kwa watu asubuhi asubuhi na mswaki mdomoni kusalimia majirani maana ndio tabia yake hiyo!!!!!!!!!!
Usisahau kumshika mkono kila mnapovuka barabara,,,,,,,, halafu mwambie asije akaenda kwa watu asubuhi asubuhi na mswaki mdomoni kusalimia majirani maana ndio tabia yake hiyo!!!!!!!!!!
Nini kinaendelea hapa?
Nini kinaendelea hapa?
Dada inamaana nyumba umemwachia nani?Unajua name niko ndani ya bongo
weeeeeeeeeeeeeeeee? aje ili iweje? tena safari hii nitakuwa nakuja nae na kuondoka naeHahahaaaaa...!!! ananisumbua huyo..., akiwa anavuka barabara anashika Makobazi yake mikononi... Afu kila ghorofa analiita Bugando... nimemnunulia vocha ya simu kaiingiza na karatasi lake kwenye simu... msukuma kaja mjini, namsubiri charminglady nae aje nimuone...
Ebwana nipo mkoani jamani...kunani hapo?!!
Hahahaaaaa...!!! ananisumbua huyo..., akiwa anavuka barabara anashika Makobazi yake mikononi... Afu kila ghorofa analiita Bugando... nimemnunulia vocha ya simu kaiingiza na karatasi lake kwenye simu... msukuma kaja mjini, namsubiri charminglady nae aje nimuone...
Usisahau kumshika mkono kila mnapovuka barabara,,,,,,,, halafu mwambie asije akaenda kwa watu asubuhi asubuhi na mswaki mdomoni kusalimia majirani maana ndio tabia yake hiyo!!!!!!!!!!