SI KWELI IMF Withdraws Statement on $443.9 Million Disbursement to Tanzania

SI KWELI IMF Withdraws Statement on $443.9 Million Disbursement to Tanzania

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
The International Monetary Fund (IMF) has retracted a previous statement claiming that Special Drawing Rights (SDRs) amounting to $443.9 million had been allocated to Tanzania. The communication, originally said to be dated July 10, was officially withdrawn by the IMF.

Officials confirmed there are currently no plans for an alternative announcement regarding this disbursement or any new allocation for Tanzania.

This development comes amid global scrutiny over financial disbursements to developing nations, as the IMF aims to maintain transparency and accountability in its fiscal operations.

Source: Devdiscourse

For Swahili viewers.

IMF yaondoa taarifa kuhusu mkopo wa dola milioni 443.9 kwa Tanzania.

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limebatilisha taarifa ya awali iliyodai kwamba "Special Drawing Rights"(SDRs) zenye thamani ya dola milioni 443.9 zilikuwa zimetengwa kwa Tanzania.

Mawasiliano hayo, ambayo awali yalisemekana kuwa ya tarehe 10 Julai, yaliondolewa rasmi na IMF.

Maafisa walithibitisha kuwa kwa sasa hakuna mipango ya tangazo mbadala kuhusu utoaji huu au mgao wowote mpya kwa Tanzania.

Hali hii inakuja huku kukiwa na uchunguzi wa kimataifa kuhusu utoaji wa fedha kwa mataifa yanayoendelea, kwani IMF inalenga kudumisha uwazi na uwajibikaji katika shughuli zake za fedha.
 
Tunachokijua
Madai

Kumekuwapo na picha ya makala inayosambaa mtandaoni ikidai kuwa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeondoa taarifa yake kuhusu kuidhinisha ufadhili wa Dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania na kwamba hakutakuwa na taarifa nyingine itakayotolewa.

Je, ni upi uhalisia?

Picha hiyo ina taarifa zinazopotosha. Hakuna ushahidi wa IMF kufuta au kubatilisha uamuzi wa kuidhinisha fedha hizo kwa Tanzania.

Tarehe 10 Julai 2026, Bodi ya Wakurugenzi ya IMF ilikamilisha mapitio ya programu za Tanzania chini ya mpango wa Extended Credit Facility (ECF) na Resilience and Sustainability Facility (RSF) na kuidhinisha kutolewa kwa fedha hizo.

Uamuzi huo uliwezesha Tanzania kupata takribani Dola za Marekani milioni 443.9, zikiwa ni takribani Dola milioni 154.1 chini ya ECF na Dola milioni 289.7 chini ya RSF. Taarifa rasmi ya IMF kuhusu uamuzi huo bado inapatikana kwenye vyanzo rasmi vya taasisi hiyo. Hakuna taarifa rasmi kutoka IMF inayoonesha kuwa uamuzi huo umefutwa au kubatilishwa.

Aidha picha inayodaiwa kuwa makala ya habari ina viashiria vya kutengenezwa:

Picha iliyotumika katika makala hiyo ina dalili za kutengenezwa kwa kutumia Akili unde (AI), ikiwemo makosa ya tahajia kwenye maandishi kama “INTERNATIOAL MONAARY FUW” na “REFARM”. Kichwa cha habari kinachodai IMF imeondoa taarifa hiyo hakina ushahidi wa moja kwa moja kutoka IMF wala hakijaambatanishwa na tamko rasmi la taasisi hiyo.

Hakuna kiungo au nukuu kutoka kwa maafisa wa IMF kuthibitisha madai kuwa taarifa hiyo imeondolewa kwa sababu uamuzi wa fedha hizo umebatilishwa.

Hivyo madai kwamba IMF imeondoa taarifa ya kuidhinisha ufadhili wa Dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania hayajathibitishwa. Taarifa rasmi ya IMF kuhusu idhini hiyo bado ipo, na hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa fedha hizo zimefutwa au kusitishwa.​
hebu nieleweshe zaidi gentleman kwa faida ya wadau wa Jf baada ya copy and paste na itapendeza zaidi 🐒
For Swahili readers.

IMF yaondoa taarifa kuhusu mkopo wa dola milioni 443.9 kwa Tanzania.

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limebatilisha taarifa ya awali iliyodai kwamba "Special Drawing Rights"(SDRs) zenye thamani ya dola milioni 443.9 zilikuwa zimetengwa kwa Tanzania.

Mawasiliano hayo, ambayo awali yalisemekana kuwa ya tarehe 10 Julai, yaliondolewa rasmi na IMF.

Maafisa walithibitisha kuwa kwa sasa hakuna mipango ya tangazo mbadala kuhusu utoaji huu au mgao wowote mpya kwa Tanzania.

Hali hii inakuja huku kukiwa na uchunguzi wa kimataifa kuhusu utoaji wa fedha kwa mataifa yanayoendelea, kwani IMF inalenga kudumisha uwazi na uwajibikaji katika shughuli zake za fedha.
 
Budget ya 2026 to 2027 imepitishwa tayari . je hii ya IMF ingekuja kukaa wapi ?,
 
Kudos to IMF bold decision against the tyrany dictatorship regime of Samia Hassan and all her henchmen Mwigulu, Katambi, Wasira etc

TOKA MAKTABA :

2025 May 25

Tanzanian Diaspora Protest Outside IMF & World Bank Over Crackdown on Opposition

View: https://m.youtube.com/watch?v=x6zmF0weg80
Tensions are rising in Tanzania as opposition leaders face mounting pressure ahead of the country’s general elections.

In Washington, D.C., members of the Tanzanian diaspora gathered outside the International Monetary Fund and World Bank in Washington DC to protest what they call a brutal crackdown on democracy in their homeland.
 
Duh! mwalimu wa namba alipokuwa akiingia darasani ulikuwa unaruka dirishani unaenda kukusanya mbegu za ubuyu.
Sijataka kupiga mahesabu nikajua ni zile Bilioni 1.4 walizokuwa wanazipromote kwamba serikali ya TZ wamepewa.

Kwa hesabu kaka nina uhakika hauniwezi hata kwa dawa hili nauhakika kwa 100% ,kwenye ligi weka JIWE mimi naweka laki moja natuma kabisa kwa Mods na tuwatumie vyeti vya Olevel na Advance ili wafanye verification..
 
Kwa exchange rate gani?
Nimechanganya na Bilioni hizi.

This development comes amid global scrutiny over financial disbursements to developing nations, as the IMF aims to maintain transparency and accountability in its fiscal operations.
Tapeli Thabit Kombo alishafika huko nini, kuwavuruga vichwa hawa mabeberu; mbona wanajichanganya namna hii?
 
Soon.

Kama hujuwi hao jamaa hawazaliani kama sisi.

Kuna mitaa imeanza kuwa empty kabisa.

Nyumba ziauzwa euro 1.

Majamaa yanakwenda kupotea mazima.

Sisi tu ndio hatujiamini ila tunakwenda kuitawala dunia kama ilivyo haki yetu.
Unafurahisha sana mkuu, yaani kwa akili za mwenyekiti wa CCM , Tanganyika itawale Dunia,mtu anayeua wale wenye mawazo kinzani

Mothefanta
 
Basi hizi ndizo habari mnazozipenda, mwazitafuta sana na kuzishabikia sana huko CHADEMA as if mnamkomesha Samia na misaada hiyo itakuja kwenu
Wewe kinachokuumiza ni nini, Samia kunyimwa hizo pesa?
 
Budget ya 2026 to 2027 imepitishwa tayari . je hii ya IMF ingekuja kukaa wapi ?,
Wewe naye ,hujui hiyo pesa ni miongoni mwa bajeti,hujasikia kuwa Kuna mikopo nafuu kwenye bajeti yetu!?

Au unadhani wanapopanga bajeti Kuna kuwa na fedha tayari!?
 
Soon.

Kama hujuwi hao jamaa hawazaliani kama sisi.

Kuna mitaa imeanza kuwa empty kabisa.

Nyumba ziauzwa euro 1.

Majamaa yanakwenda kupotea mazima.

Sisi tu ndio hatujiamini ila tunakwenda kuitawala dunia kama ilivyo haki yetu.
"Watu kama nyinyi muitawale dunia"!

Usijumuishe watu wenye akili timamu katika hiyo dunia mtakayoitawala misukule wa aina yako.
 
Hiyo IMF in the long run itajifia tu automatically.

Kama wanagombana na each state tena za kiafrika ambazo ni wakopaji wakuu.

Sijuwi watamuonea nani tena.
Bora kubaki na wateja/wakopaji wachache wenye nidhamu ya pesa kuliko kuwa na wateja wengi wasio na nidhamu ya pesa unayowakopesha, hii ni basic principle ya biashara yeyote hata ya kuuza genge la nyanya.
 
Soon.

Kama hujuwi hao jamaa hawazaliani kama sisi.

Kuna mitaa imeanza kuwa empty kabisa.

Nyumba ziauzwa euro 1.

Majamaa yanakwenda kupotea mazima.

Sisi tu ndio hatujiamini ila tunakwenda kuitawala dunia kama ilivyo haki yetu.
Afrika iitawale dunia? una maana DRC Congo, Zimbabwe, Tanzania, Madagascar, Msumbiji sijui na Sudan na Somalia tuungane tuwatawale wazungu, you must be joking, sisi wenyewe tumeshindwa kujitawala ije kumtawala Mjerumani. Keep on dreaming.
 
Back
Top Bottom