Uwiiii hadi moyo unanienda mbio.
alafu swali la mwisho hawa wazungu wanavyowakamua hawa nyoka sumu kwenye glass huwa inakuwa imeisha kwenye miili yao au inajuzalisha tena na hiyo sumu wanafanyia nini?
_
Rogie ananituliza.Ila asante kwa huruma yakoNjoo niutulize.
Pole sana!!
Mbona hujaweka warning kuwa pic inatisha?