Imetokea umemkanyaga !

Imetokea umemkanyaga !

Labda iwe alikuwa ameshiba, vinginevyo ....
 
Mbona huyo mdogo. Hata mbuzi amalizi kummeza.

Wapo wakubwa zaidi, wale Wasukuma cjui wanawatoa wapi wale wa kibisa.
 
mzizimkavu alisema anakonda anakula mara saba tu kwa mwaka
 
Kwanza ni uzembe, pili ni ujeuri na ni ukosefu wa nidhamu kumkanyaga huyo mshkaji!
 
Back
Top Bottom