Imetokea mara tatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imetokea mara tatu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by majogajo, Oct 17, 2011.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ndg naombeni mnisaidie nimshauri rafiki yangu.
  kabla au hata kipindi akiwa na msichana bunduki(pen....c) inacmama sana kuonyesha ina hamu sana ya ku do..lakini wakati ukifika ili waanze ku do bunduki inagoma kucmama.........hana matatizo yoyote ya kucmamisha.
  afanyeje ili tatizo lisitokee tena?
   
 2. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Pole....... nenda hospitali tafadhali
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Si useme ni wewe imekutokea mkuu
  Ungesema wewe watu wangutoa ushauri
  Ila huo ni wasi wasi inaelekea huyo jamaa hajadoo siku nyingi sasa ule wasi wasi unamfanya anashindwa kufanya kazi
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Acha chips mayai.
   
 5. facebook

  facebook Senior Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama zinamadhara basi wanaume wote wa dar hawafanyi kazi.
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mwambie asiwe na pupa ya ku do aende mdogo mdogo namwenzie ku do ya mwisho matayarisho muhimu.
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  bubduki ikisimaa tu mwambie akuite uweke sisasa,afyatue!
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Tafuta unga wa pembe ya kifaru, upakae kwenye mapumbu mpaka uume siku 28 hakikisha mwanamke wako siyo legelege unaweza kumzimisha. jomba bunduki yako ni ffeki inasimama mahali isipotakiwa inatakiwa isimamie ndani
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  ulijuaje?
  Mwambie aende hosptl
   
 10. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tumia mziwa fresh na asali, ila nahisi tatizo ni lako ila wewe unaficha sema tu usaidiwe
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wanaume wengi dar wanalo hili tatizo
   
 12. angomwile

  angomwile Member

  #12
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Mkuu hili tatizo inaonesha ni lako mwenyewe sema tu unazuga,anyway kama huwa anapiga pu***to mwambie aache!
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine mnaokolewa na matokeo ya tendo hilo lakini hamtaki kukubali,sasa wewe imekataa mara tatu zote bado unaye tu unatafuta nini hapo?
   
 14. M

  Mwinga Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nenda hospitali!.
   
 15. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Nadhani hiyo bunduki ni ya Kichina !
   
 16. innovg

  innovg Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  • labda anajilipua kabla ya mechi
  • labda wasiwasi, msongo wa mawazo
  • labda ni matatizo ya kiafya, nenda hospitali
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kwa mwanamke mmoja au ni wote alioapply wakatiki? Ushauri, kama alikuwa na tatizo la kupiga pinyeto itakuwa ni athari ya kisaikolojia inayomsumbua. Kama hajawahi kufanya hivyo basi aache tabia ya kutojiamini na kuona labda atashindwa au akifanya ataonekana labda yupo chini ya kiwango. Mapenzi ni hatua, hata kama hujui utajua tu. Jikaze chali upige mshale aiseeeee wewe niaje bana.
   
 18. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duh!itakuwa kwa nje mwanamke mzuri bunduk inasimama lakin akivua tu,kitumbua kibaya mashine inagoma na jamaa anashindwa kujiamini
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Tena wa umri mdogo tu.
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Ndivyo ilivyo.
   
Loading...