Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
:lol:
bongo eeeeh!
bongo eeeeh!
Hapo kwenye red kaka hii dawa inatibu baadhi ya magonjwa sio yoteWakuu, pia msisahau kuleta picha za mlima uchafu ulioko pale na timu ya madaktari iliyokwenda kuokoa watu kwenye maajabu ya Loliondo!
dawa yenye muujiza inayotibu maradhi makubwa huku ikishindwa kuwatibu watu magonjwa ya kuhara damu..........
Wakuu, pia msisahau kuleta picha za mlima uchafu ulioko pale na timu ya madaktari iliyokwenda kuokoa watu kwenye maajabu ya Loliondo!
dawa yenye muujiza inayotibu maradhi makubwa huku ikishindwa kuwatibu watu magonjwa ya kuhara damu..........
Huyo ni John Alan Namu, bonge ya reporter. Alishinda CNN African Journalist of the year mwaka jana. Yani angalia Kazi alizofanya zamani za rogue tracker na kazi nyingine utaona kwamba jamaa ni fearless. Waandishi wetu ni kuogopa ogopa tu. Huyu Namu alitoa report ya Drug Lords wa Mombasa ilibidi akimbie nchini miezi mitatu baada ya story kutolewa. We need help Tanzania
YouTube - NTVKenya's Channel
http://www.youtube.com/user/NTVKenya#p/u/30/SWMU6O6XlVc
http://www.youtube.com/user/NTVKenya#p/u/2/c03FulCf6LY
Check maajabu ya babu wa Loliondo. huyu babu ni kiboko!
HILI ENEO LAZIMA KUTAKUWA NA KITU kumbuka zinjanthropus walimpata maeneo hayo hayo ya kaskazini
Ha ha ha na sisi si tuna Magid Mjengwa, ukisoma makala zake zinakupa picha halisi ya taaluma ya uandishi wa habari wa bongo