Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
Sitak kuamin kwamba maggid uwezo wa kufikiri ni mdogo. BABU ameoteshwa mia tano kwa kuwa ni hela ya Kitanzania ambayo kila mtz anaiweza kuipata awe maskin au tajiri. na khs 1USD hiyo ni currency maarufu dunian kote na inajulikana kila mahali. Tatizo lako ulitaka BABU aoteshwe Currency za kutoka UARABUNI ndo ungerizika na kuamin kama hutak kuamin kaa kimya waache wenye iman wakatibiwe, SHEIKH YAHYA YUPO KUWATIBU WATU KAMA NINYI BABU HANA MAJIN MAIMUNA.
So why bother mkuu??
why dont you shut up! and do your things!
Hii ni imani na mpaka sasa umeishavuna aibu nyingi tu, you cvan not question Imani, after all wewe ni mwislamu na yule ni mkristo hauoni kwa akili ndogo kabisa mko dunia mbili tofauti?
Leo hii mtu akisikia mtume alioa wake 22, aliua, akaoa na kulala na mtoto wa miaka 9, alilala na wanawake wenye edhi, alichukua Quran toka kwenye pango, n.k haviingii akilini! Yet we have mosques kila kona na tunaenda misikitini na kurudi kwetu,...maisha yanaendelea...
Issues za Imani ni nzito sana na next time try your level best kukaa mbali navyo maana utapata aibu, nilifikiri ulipopost ile ya kwanza nilijua umepata somo, unarudia tena??
Kuwa najua mabaya ua islamu then niseme ili iwe nini?? eti babu hajaku-convince! Sheikh yahya nimsemsikia kwa masikio yangu akisema mimi naenda nyie kufeni!!!
Ni swala la mtu na ndio maana wengi wako kule na wa dini na mataifa mbalimbali HATA HIZO ARV kuna wengine hawazitaki, kuna wengine hawatumii panadol bali hedex...list of preferances goes on
sasa wewe kwa nini USEME?? ili iwe nini??
Unajua, mnapoquote Biblia kwa juhudi za kudiscredit mtu hapo ndipo mnapofanya makosa. Martin Luther King Jr, alipokuwa anapigania harakati za kuwakomboa Wamarekani weusi aliamini kabisa kuwa alitumwa na mwenyezi Mungu. Na hata katika hotuba yake ya mwisho alisema hivyo hivyo kama vile alikuwa nabii. Na matunda ya juhudi zake leo tunayaona. Hakuna aliyewahi kumwuliza huyo Mungu kakutumaje, umeongea naye saa ngapi. Noah aliagizwa na Mungu ajenge ark. Kwani alimwona Mungu? Mbona wakati huo hakuulizwa Mungu anafananaje? Moses aliamriwa ajenge sanamu la joka ambalo wana wa Israeli wakiliangalia watapona na adha za kuumwa na majoka msituni. Hakuna mtu aliwahi kumwuliza Moses umeisikia wapi hiyo sauti ya Mungu. Kuna mifano chungu nzima kwenye Biblia ambako Mungu anawamuru binadamu wafanye hiki na kile.Maggid anakataa kuwa babu kaoteshwa na Mungu kwa kuwa Biblia inasema "Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake Yohana 5:37" Maggid anathibitisha kuwa Biblia inasema kuwa sisi pamoja na "babu" hatujapata kamwe kusikia sauti ya Mungu wala kuuona uso wake!Nadhani babu ana zaidi ya majini Maimuna Tafakari!
Majid, nadhani unakosea sana pale unapoingilia imani za watu, hebu unapokuwa ukisini na wake za watu ile siyo dhambi? Unapokuwa ukiwatenga wakristo na imani yako ile siyo dhambi! Leo unamfindisha nani kuhusu kuhusu huyu babu!
Wewe ndo unatuchekesha! Wanaoponywa huwa hawafi? Wanaishi milele hapa duniani? Kufa ni lazima. Hata wale walioponywa na Bwana Yesu baadae walikufa. Kufa hakuzuiliki.
evidence plz! Vngnevyo ndo zile, zile, story za kusadkika! Mm mpk sshv nna ndg mwny sukar na presha alienda kupata kkombe bt up 2 nw bdo anaumw na amerudia dawa zake.
Majid, nadhani unakosea sana pale unapoingilia imani za watu, hebu unapokuwa ukisini na wake za watu ile siyo dhambi? Unapokuwa ukiwatenga wakristo na imani yako ile siyo dhambi! Leo unamfindisha nani kuhusu kuhusu huyu babu!
Katika kile kinachoweza kutafsiriwa kama ufisadi au ujanjaujanja waliokunao viongozi wetu kuna jambo la kihuni linalotokea wakati wa kunywa kikombe cha babu.
Kuna taarifa ya kuwa viongozi kabla ya kufika loliondo huwa wanatuma taarifa inayoambatana na list ya majina ya ndugu zao ambao hawatakaa foleni ya kusubiri kikombe.
Yaani fisadi ni fisadi tu hata kwenye mambo ya ki-imani!?!
Ndugu Zangu,
JANA usiku muda mfupi kabla ya taarifa ya habari, TBC1, kulikuwa na mahojiano ya mwandishi wa TBC na Babu wa Loliondo.
Kati ya aliyoyaongea, Babu anasema, kuwa Mungu ndiye aliyepanga bei ya tiba ya kikombe iwe shilingi mia tano. Kuwa alimwonyesha mia tano! Na Mungu akamwambia wageni walipe dola moja!
Tafsiri yangu;
Pamoja na kuwa mwandishi hakumuuliza Babu maswali magumu, bado Babu wa Loliondo hakunisogeza hata hatua moja kutoka kwenye msimamo wangu. Kuwa tiba ya Babu ni Abrakadabra.
Tujiulize swali moja tu; hivi Mungu huyo ni Mungu gani anayebagua waja wake. Kuwa wengine walipe mia tano na wengine dola moja?
Jamani, hivi Mungu huyu wa Babu wa Loliondo naye anafuatilia exchange rate kila siku? Itakuwaje basi, shilingi ikipanda au kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani? Babu itabidi aoteshwe haraka ndoto nyingine ili abadilishe bei ya kikombe!
Na kwenye taarifa ya habari iliyofuatia ikaripotiwa, kuwa Serikali imeshindwa kutoa tamko jana juu ya tiba ya Babu kwa vile Babu amesema kamati iliyoundwa iende kwanza Loliondo!
Mnajua tena mambo haya ya imani! Alitamka mwanakamati mmoja kwenye TBC1. Na leo imeandikwa kwenye gazeti moja, kuwa Serikali itatoa tamko leo juu ya tiba ya ' Babu'.
Naam. Tamko hili liharakishwe kutolewa kabla ' Babu' hajaoteshwa ndoto, kuwa ' Tamko Lisitishwe hadi itakapotamkwa tena!'. Na nani? Fikiri mwenyewe.
Si ilipata kusemwa, kuwa kila kukicha, kuna kioja kinazuka kutoka Afrika!
Maggid
Iringa,
Jumapili, Machi 27, 2011
babu a.k.a kalumanzila,
"imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana"
jamani hii ishu ni ya kiiman zaidi, wenye matatizo ya magonjwa na ambao wamehangaika nayo bila mafanikio kama ukimwi,kisukari,na mengineo kwa iman waende tu wakajaribu bahat yao,
wewe ukiona ni chezo tu linachezwa na kalumanzila achana nalo,
mi sioni tatizo liko wapi
.... Hili suala ni gumu sana kuna interest za watu wazito na linasemekana hili jambo lina mkono wa kifreemasons ndio maana babu anataka mia tano ile namba ina maana kubwa! Hili la dola moja nimelisikia hivi punde limenifanya nianze kuamini kuwa fremasons wanamkono ukiitazama ile dola moja utaona alama zao iangalie kwa makini kuna picha ya piramid juu yake kuna kama jicho! .