Imetokea loliondo

Jana nilikuwa nasoma post ya mdau mmoja ambaye ilionesha ni Dr pale Mt Meru akielezea wagonjwa walivyowengi na wote wamezidiwa baada ya kutoka kwa babu.na akawa anasikitishwa sana na media kuwa haziriport habari hizo. kwa wasomi wazuri wanaoielewa bible maandiko yake hawawezi kwenda kwa babu kwani majaribu kama hayo yalisha elezwa. Hao wote hawana lolote ni nguvu za shetani.Katika dawa zilizotolewa na Mungu hazina masheriti ya kutoka sehem moja kwenda nyingine.
 
na bdo watatokea wengne tn na tn. Inapendza na inatia mahasira wa2 na akil zao kuamin mambo hovyo2. Mtanyweshwa mpk vcvyonywewa! Ye2 macho!
 
Na bado watazinduka wengine kudai mizizi imewatuma au maruweruwe wamewatuma.

Tumeona wengine "wakitumwa" na Dokta wa kanono Silaa, kwenda kujiangamiza kwa kuwa watapatiwa Simenti ya elfu tano na maisha bora kwa kufumba na kufumbuwa.

Hata hawatazami huyo anaewaambia ana maisha yepi? Na yana ubora upi?

1) Mwenyekiti anadaiwa, kapata mwanya kidogo kaanza kuchota mali ya umma hataki kuirudisha, jee akipewa nchi? Hatuyaoni haya.

2) Mgombea aliebobea (Daktari) mwenye kuzijuwa sheria za kanoni anaenda kinyume kabisa na hizo sheria: a) kwa kuoa akiwa padiri b) kwa kuongeza mke c) ambae hajaachika kwa mume wa kwanza na anaishi nae kama kimada kwa sheria za kanoni. Hatuyaoni haya.
Hivi hawa wakipewa waendeshe nchi, itakuwaje? Jibu: chota mali za umma na kula sheria za "kanono".

Hivyo ndivyo tulivyo. "Wajinga ndio waliwao".

"Reality" huwa hawaioni, hawaisikii wala hawataki kuiona wala kuisikia. Inashangaza kwa wenye kuona.
 
1) Mwenyekiti anadaiwa.

2) Mgombea aliebobea (Daktari) mwenye kuzijuwa sheria za kanoni anaenda kinyume kabisa na hizo sheria: a) kwa kuoa akiwa padiri b) kwa kuongeza mke c) ambae hajaachika kwa mume wa kwanza na anaishi nae kama kimada kwa sheria za kanoni.

Hivyo ndivyo tulivyo. "Wajinga ndio waliwao".

"Reality" huwa hawaioni, hawaisikii wala hawataki kuiona wala kuisikia. Inashangaza kwa wenye kuona.

Tunaongelea ya Mbeya mkuu! Hata kama wewe ni mpumbavu usioinyeshe upumbavu wako hapa.
Please try not to post nonesence. you are letting this forum down buddy.
 
Ndio hayo nnayosema, hawaoni wala hawasikii! Kasome "theory" ya "relativity" halafu utajuwa nani anaeonesha upumbavu wake.
 
Tumeona wengine "wakitumwa" na Dokta wa kanono Silaa, kwenda kujiangamiza kwa kuwa watapatiwa Simenti ya elfu tano na maisha bora kwa kufumba na kufumbuwa.

Hata hawatazami huyo anaewaambia ana maisha yepi? Na yana ubora upi?

1) Mwenyekiti anadaiwa, kapata mwanya kidogo kaanza kuchota mali ya umma hataki kuirudisha, jee akipewa nchi? Hatuyaoni haya.

2) Mgombea aliebobea (Daktari) mwenye kuzijuwa sheria za kanoni anaenda kinyume kabisa na hizo sheria: a) kwa kuoa akiwa padiri b) kwa kuongeza mke c) ambae hajaachika kwa mume wa kwanza na anaishi nae kama kimada kwa sheria za kanoni. Hatuyaoni haya.
Hivi hawa wakipewa waendeshe nchi, itakuwaje? Jibu: chota mali za umma na kula sheria za "kanono".

Hivyo ndivyo tulivyo. "Wajinga ndio waliwao".

"Reality" huwa hawaioni, hawaisikii wala hawataki kuiona wala kuisikia. Inashangaza kwa wenye kuona.
Nimeishiwa na maneno ya kuandika baada ya post yako. Nitakurudia baadae!! Hata ww unaapost pumba kama hiyo uliyoandika. Kweli wanaJF tuna kazi kwelikweli!!!!
 
Ndugu Zangu,

JANA usiku muda mfupi kabla ya taarifa ya habari, TBC1, kulikuwa na mahojiano ya mwandishi wa TBC na Babu wa Loliondo.

Kati ya aliyoyaongea, Babu anasema, kuwa Mungu ndiye aliyepanga bei ya tiba ya kikombe iwe shilingi mia tano. Kuwa alimwonyesha mia tano! Na Mungu akamwambia wageni walipe dola moja!

Tafsiri yangu;

Pamoja na kuwa mwandishi hakumuuliza Babu maswali magumu, bado Babu wa Loliondo hakunisogeza hata hatua moja kutoka kwenye msimamo wangu. Kuwa tiba ya Babu ni Abrakadabra.

Tujiulize swali moja tu; hivi Mungu huyo ni Mungu gani anayebagua waja wake. Kuwa wengine walipe mia tano na wengine dola moja?

Jamani, hivi Mungu huyu wa Babu wa Loliondo naye anafuatilia exchange rate kila siku? Itakuwaje basi, shilingi ikipanda au kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani? Babu itabidi aoteshwe haraka ndoto nyingine ili abadilishe bei ya kikombe!

Na kwenye taarifa ya habari iliyofuatia ikaripotiwa, kuwa Serikali imeshindwa kutoa tamko jana juu ya tiba ya Babu kwa vile Babu amesema kamati iliyoundwa iende kwanza Loliondo!

”Mnajua tena mambo haya ya imani!” Alitamka mwanakamati mmoja kwenye TBC1. Na leo imeandikwa kwenye gazeti moja, kuwa Serikali itatoa tamko leo juu ya tiba ya ' Babu'.

Naam. Tamko hili liharakishwe kutolewa kabla ' Babu' hajaoteshwa ndoto, kuwa ' Tamko Lisitishwe hadi itakapotamkwa tena!'. Na nani? Fikiri mwenyewe.

Si ilipata kusemwa, kuwa kila kukicha, kuna kioja kinazuka kutoka Afrika!

Maggid
Iringa,
Jumapili, Machi 27, 2011
 
Taarifa za uhakika toka mamlaka ya anga,zinasema kwamba serikali imezuia operation zote za ndege na helicopters kwenda kwa Babu ili kuzuia msongamano wa watu!Pia magari yatazuiwa mpaka walioko kwa Babu wapungue!
 
Lazima tukubali kwamba spititual powers zipo ila shida ni jinsi ya ku maintain. Mimi naamini kweli kwamba babu alioteshwa na muumba lakini tunatakiwa kujua kwamba kwenye jambo jema Shetani nae huwa hachezi mbali na ndio maana ku maintain spiriritual power huwa ni kazi and it's just out of our control.

Lakini kama babu akipoteza spiritual power then sisi wenyewe tutakuwa tumechangia sana kwani tumejitahidi sana kumu expose Babu na mambo ya dunia and I am sorry to say that Babu iso now becoming modern. Ndio maana amesha anza kudeal na media na kwa kawaida ya mwanadamu anavyokuwa modern ndivyo demand line inavyozidi kupanda.

Kwahiyo sintashangaa rate ya kikombe ikiendelea kupanda kwa jinsi babu atakavyokuwa ana advance to the new technology kama kutumia blackberry, kuweka reception na laptop ya ku register wagonjwa, kufanya appointment kwa kutumia e-mail etc.

Na mwishowe spiritual power itabakia 0% na kama Babu akiendelea kulazimisha basi ndio anaweza kuwa karumanzira.
 
Ndugu Zangu,

JANA usiku muda mfupi kabla ya taarifa ya habari, TBC1, kulikuwa na mahojiano ya mwandishi wa TBC na Babu wa Loliondo.
Kati ya aliyoyaongea, Babu anasema, kuwa Mungu ndiye aliyepanga bei ya tiba ya kikombe iwe shilingi mia tano. Kuwa alimwonyesha mia tano! Na Mungu akamwambia wageni walipe dola moja!
Tafsiri yangu;

Pamoja na kuwa mwandishi hakumuuliza Babu maswali magumu, bado Babu wa Loliondo hakunisogeza hata hatua moja kutoka kwenye msimamo wangu. Kuwa tiba ya Babu ni Abrakadabra.
Tujiulize swali moja tu; hivi Mungu huyo ni Mungu gani anayebagua waja wake. Kuwa wengine walipe mia tano na wengine dola moja?

Jamani, hivi Mungu huyu wa Babu wa Loliondo naye anafuatilia exchange rate kila siku? Itakuwaje basi, shilingi ikipanda au kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani? Babu itabidi aoteshwe haraka ndoto nyingine ili abadilishe bei ya kikombe!
Na kwenye taarifa ya habari iliyofuatia ikaripotiwa, kuwa Serikali imeshindwa kutoa tamko jana juu ya tiba ya Babu kwa vile Babu amesema kamati iliyoundwa iende kwanza Loliondo!

"Mnajua tena mambo haya ya imani!" Alitamka mwanakamati mmoja kwenye TBC1. Na leo imeandikwa kwenye gazeti moja, kuwa Serikali itatoa tamko leo juu ya tiba ya ' Babu'.

Naam. Tamko hili liharakishwe kutolewa kabla ' Babu' hajaoteshwa ndoto, kuwa ' Tamko Lisitishwe hadi itakapotamkwa tena!'. Na nani? Fikiri mwenyewe.

Si ilipata kusemwa, kuwa kila kukicha, kuna kioja kinazuka kutoka Afrika!

Maggid
Iringa,
Jumapili, Machi 27, 2011
MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo

Heshima yako Maggid, Hili suala ni gumu sana kuna interest za watu wazito na linasemekana hili jambo lina mkono wa kifreemasons ndio maana babu anataka mia tano ile namba ina maana kubwa! Hili la dola moja nimelisikia hivi punde limenifanya nianze kuamini kuwa fremasons wanamkono ukiitazama ile dola moja utaona alama zao iangalie kwa makini kuna picha ya piramid juu yake kuna kama jicho! Usihadaike na kuumiza kichwa kuhusu maswala ya exchange rates kwani Mungu wa Isaya na Yakobo ni mwenye mapenzi na wanaadamu hawezi kuwapeleka sehemu inayowadhalilisha na kuishi maisha ya wanyama! Si tunasikia watu wanajisaidia porini na wanateseka kisawasawa kungoja "kikombe"? Upo wapi utu hapo? Kuna wengine humu JF wana miradi yao ya kubeba wanaoenda Loliondo kwa babu kwahiyo tegemea upinzani mkubwa wa hoja zako.
 
Sitak kuamin kwamba maggid uwezo wa kufikiri ni mdogo. BABU ameoteshwa mia tano kwa kuwa ni hela ya Kitanzania ambayo kila mtz anaiweza kuipata awe maskin au tajiri. na khs 1USD hiyo ni currency maarufu dunian kote na inajulikana kila mahali. Tatizo lako ulitaka BABU aoteshwe Currency za kutoka UARABUNI ndo ungerizika na kuamin kama hutak kuamin kaa kimya waache wenye iman wakatibiwe, SHEIKH YAHYA YUPO KUWATIBU WATU KAMA NINYI BABU HANA MAJIN MAIMUNA.
 
Maggid anakataa kuwa babu kaoteshwa na Mungu kwa kuwa Biblia inasema "Naye Baba aliyenituma hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake Yohana 5:37" Maggid anathibitisha kuwa Biblia inasema kuwa sisi pamoja na "babu" hatujapata kamwe kusikia sauti ya Mungu wala kuuona uso wake!Nadhani babu ana zaidi ya majini Maimuna Tafakari!
 
Nguvu za ki- Mungu zipo lakini kuthibisha kwamba ni kweli babu kawasiliana na Mungu ukweli huo anao yeye mwenyewe. Wengi wanakunywa kikombe kwa imani na imani ni kuamini. Kama ilivyo ugumu wa kuthibisha kwamba Mungu yupo au hayupo (kumradhi mimi naamini kuwa Mungu yupo na mwabudu). Suala la Loliondo ni kama bahati nasibu ambapo kama ni dawa wengi watapona na kama ni sumu inayoua taratibu wengi watakufa.

Ndugu Zangu,

JANA usiku muda mfupi kabla ya taarifa ya habari, TBC1, kulikuwa na mahojiano ya mwandishi wa TBC na Babu wa Loliondo.

Kati ya aliyoyaongea, Babu anasema, kuwa Mungu ndiye aliyepanga bei ya tiba ya kikombe iwe shilingi mia tano. Kuwa alimwonyesha mia tano! Na Mungu akamwambia wageni walipe dola moja!

Tafsiri yangu;

Pamoja na kuwa mwandishi hakumuuliza Babu maswali magumu, bado Babu wa Loliondo hakunisogeza hata hatua moja kutoka kwenye msimamo wangu. Kuwa tiba ya Babu ni Abrakadabra.

Tujiulize swali moja tu; hivi Mungu huyo ni Mungu gani anayebagua waja wake. Kuwa wengine walipe mia tano na wengine dola moja?

Jamani, hivi Mungu huyu wa Babu wa Loliondo naye anafuatilia exchange rate kila siku? Itakuwaje basi, shilingi ikipanda au kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani? Babu itabidi aoteshwe haraka ndoto nyingine ili abadilishe bei ya kikombe!

Na kwenye taarifa ya habari iliyofuatia ikaripotiwa, kuwa Serikali imeshindwa kutoa tamko jana juu ya tiba ya Babu kwa vile Babu amesema kamati iliyoundwa iende kwanza Loliondo!

”Mnajua tena mambo haya ya imani!” Alitamka mwanakamati mmoja kwenye TBC1. Na leo imeandikwa kwenye gazeti moja, kuwa Serikali itatoa tamko leo juu ya tiba ya ' Babu'.

Naam. Tamko hili liharakishwe kutolewa kabla ' Babu' hajaoteshwa ndoto, kuwa ' Tamko Lisitishwe hadi itakapotamkwa tena!'. Na nani? Fikiri mwenyewe.

Si ilipata kusemwa, kuwa kila kukicha, kuna kioja kinazuka kutoka Afrika!

Maggid
Iringa,
Jumapili, Machi 27, 2011
 
DAH!! U TOTALY POOR n LITTLE KNOWLEDGE IN TORTOLOGY POLE SANA BIBLIA HAISOMWI KWA ANDIKO MOJA MOJA KAMA UFANYAVYO WEWE NENDA KASOME WAKORINTHO UONE MUNGU ANAVYOONYESHA UKWELI WA NDOTO ZA MABABU SIKU ZA MWISHO.
 
Kwani ww Magid usipobadli msimamo wako kuhusu Babu nani anajali? Who do u think you are btw. It seems unajikweza kwamba una attention saaana kumbe we
only read your trash to laugh out loudly.

Nimekuwa nikisoma criticisms zako kuhusu huyu mzee nikashangaa . For your info. there is no more news from Babu because everybody has succumbed
to his cup including scientists. Halafu eti nawe uko mbele against udini. Funny.
 
Habari hizo tumechoka jamani..................turudi kwenye mambo ya msingi kwa taifa issue za katiba,umeme kimya...kila siku Loliondo Loliondo....
 
Back
Top Bottom