Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,599
- 2,248
Inategemea tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume umetokana na PUNYETO?Ni kama mzaha ila baada ya miaka zaidi ya kumi jana nimetimiza wiki moja bila ya kupiga punyeto ila ni kwa sababu nimeamua kwa dhati kabisa ili nipate heshima katika mapenzi
Na kusema kweli kuacha ni kama mvutaji wa sigara maana mara nyingi unasema mwisho leo lakini unaendelea japo hupendi
Niwaambie wenzangu wanaendelea mpaka sasa wafanye maamuzi ya dhati ya kuacha
Nikitimiza mwezi mmoja nitaleta mrejesho kama nimeweza au bado nataka mpaka mwezi mmoja upite bila ya kugegeda wala kupiga punyeto
Maswali yangu je nguvu zangu za kiume zitarudi
Ukusanye nguvu kwani unaenda vitani?Nataka kukusanya nguvu
Maskini chama langu pendwa CHAPUTAHongera kwa kujitoa chaputa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NAONA SASA BAHARIA KAACHA KUPIGA MBIZI, ANAOGELEA KWENYE BESENI
Mkuu chama bado kipo hai, katubu mwenezi bado yupoMaskini chama langu pendwa CHAPUTA
soon wanachama woote wanasepa na chama kinazidi kuzama kama chama cha ACT
We ni expert member wa CHAPUTAHeshima yako,..mi kila nikijitahidi kuacha cfikishi zaidi ya siku 3 nsharudi,..
Yupo likizo ka mange kimambiHujaacha wewe
Upo likizo fupi tu, utakaporudi kwa kishindo uje kutupa mrejesho[emoji3]
Kama kajiuzulu ajiuzulu kweli asije akarudi katikati ya mchezo kama Lipumbaacha zako wewe... mimi kama mwenyekiti wa CHAPUTA ngazi ya TAIFA taarifa ya wewe kujiudhuru hujaleta
Hawezi kuacha huyo tena atakua ashapiga mda c mrefuKama kajiuzulu ajiuzulu kweli asije akarudi katikati ya mchezo kama Lipumba