Imetimia wiki sijapiga punyeto

Mkuu ukifanikiwa naomba unipe tips za kuacha na mm, maana siwezi toboa week bila kupiga, na nikifikisha week ndoto nyevu zitanisumbua sana.
 
Uharo gani sasa huu umeleta humu!

Amaa weli wee ni mwananchi Hewa.

Yaan
Nyie ndo mnadhalilisha fani ya ualimu mpaka skuhizi tunawaona kama wapuuz flan hv mtaani

Aisee,
NAWAHURUMIA SANA WANAFUNZI UNAOWAFUNDISHA.
 
karne hii unapiga nyeto? huwezi kuwa seriously aise!
mademu wengi hivi unakonyeza tu anaileta papuchi.
papuchi zingine mpaka nazikataa kwa nguvu.
 


Ulijizoesha vibaya tu.....hivi una miaka mingapi wewe?
 
Ndugu mjumbe,taarifa bado zinaonyesha kuwa ww bado ni mwanachama halali wa CHAPUTA kwa sababu hakuna taarifa zako za maandishi kwa mwenyekiti wala kwa katibu wa tawi

Kwa hiyo nakuomba urejee tena katiba yetu tukufu ya CHAPUTA na uisome vizr na uielewe kama kuna mahali utashindwa kupaelewa tafadhali wasiliana na mwanasheria wa chama ndugu GuDume,otherwise utaendelea kuyasimamia majukumu yako yote ikiwa ni pamaoja na usambazaji wa sabuni na lotion kwa wanachama wote mpaka hapo kitakapo kaa kikao cha nusu ya pili ya mwaka ambacho kitakaa Trh 20/12/2018

Nakutakia utekelezaji mwema wa majukumu yako ya kukijenga chama chetu cha CHAPUTA (CHAMA CHA WAPIGA PUNYETO TANZANIA)

Ni mm mweka hazina wa Chama,
M.arabe
Monde arabe
Mwekahazina
 
Nyeto nyetoni......CHAPUTA hii kitu kuacha ni kazi saana
 
Dawa ni kuwa na mwanamke ambae kwa wiki lazima upige game mbili Za maana, unaweza kujikuta umesahau kabisa inapigwaje, ila bila hiyo ikisimama tu, unaingia mzigoni.
Sio Mademu tu, hata akijiweka busy na kazi, michezo atakosa muda wa kufanya hayo mambo.
 
vipi naona imepita miezi huja piga nyeto
 

Nguvu sio mbegu kuwa nyingi
 
Katiba please..
 
puli kwa afya ya hela yako na kinga ya maradhi makubwa kama ukimwi
 
Mh unaweza kuavha ukiwa na mambo matatu uwe na mwanamke au kama hauna uaiwe na mpango na mwanamke kabisa na usjishughulishe wala kuwakaribia kama muislam ingia katika ibada na umlaani shetan kila ukihs unahitaji kupiga nyeto ukijiona akili inahama inapaswa ukoge na ufanye mpango wa kutembea I mean usikae aido tambua kuwa kuacha punyeto n uamuz sahhi utarudisha kwa kiwango flan nguvu zako ingawa hazitakua kama awali na pia utakua MTU halisi hufanyi upuuzi kW kujificha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…