super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
Imagine umepata mpenzi wako mpya halafu anakuambia muende kupima Virusi vya Ukimwi ( VVU) na ikatokea kwa bahati mbaya utachukua hatua gani?
Wengi hapa huishia kukatisha mahusiano. Lakini je, hili ni jambo jema? Na kama sio vyema kwanini watu tuishi kwa stress kwa sababu ya hili janga la kimataifa?
Unaweza ukakuta mtu ana afya nzuri tu na anaishi vizuri lakini ikitokea amepima huu ugonjwa hapo hapo mwili huanza kubadilika na magonjwa kama yote yanafuatana.
N.B Wadada wengi ndo wenye tabia ya kuchomekea swala la kwenda kupima. Jamani, tuoneeni huruma sisi wakaka! tunapenda kuishi maisha marefu.