Hii imeshawahi kukutokea katika mapenzi?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Jambo hili limeshawahi kukutokea Kwenye mapenzi,mfano upo Kwenye mapenzi na mwanamke ambaye mmezaa mtoto ambaye ni first born Kwenu Kisha ikatokea mwanamke akapata issue nchi ya mbali na kuondoka na mtoto bila kukuaga kwa kuhofia utamkataza,ni hatua gani utachukua ikizingatia unakuwa unammiss sana mwanao na hawana dalili za kurudi?
 
Kwani ww ungechukua hatua gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Jambo hili limeshawahi kukutokea Kwenye mapenzi,mfano upo Kwenye mapenzi na mwanamke ambaye mmezaa mtoto ambaye ni first born Kwenu Kisha ikatokea mwanamke akapata issue nchi ya mbali na kuondoka na mtoto bila kukuaga kwa kuhofia utamkataza,ni hatua gani utachukua ikizingatia unakuwa unammiss sana mwanao na hawana dalili za kurudi?
ok
 
Mkuu ndo maana kuna mahakama na vyombo vya sheria.....
 
Kama una mawasiliano naye mwombe mtoto, lkn kwa mtu anayeondoka kimya kimya bila kuaga ana lake jambo kuto kurudi ana mahusiano na mtu mwingine. Mtoto ni damu yako atakutafuta endelea na maisha mengine
 
Si uombe ushauri tu, kwani imeandikwa wapi kuwa ni lazima kila mmoja yamkute hayo ndugu baba mlezi? Mtoto kapelekwa kwa baba mzazi.
 
Jambo hili limeshawahi kukutokea Kwenye mapenzi,mfano upo Kwenye mapenzi na mwanamke ambaye mmezaa mtoto ambaye ni first born Kwenu Kisha ikatokea mwanamke akapata issue nchi ya mbali na kuondoka na mtoto bila kukuaga kwa kuhofia utamkataza,ni hatua gani utachukua ikizingatia unakuwa unammiss sana mwanao na hawana dalili za kurudi?
Asirudi kwangu aishie huko huko...
 
Back
Top Bottom