Imeokotwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imeokotwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Raia Fulani, Dec 10, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  07122011133-001.jpg
  Hii kitu imekutwa maeneo. Mwenye kuimiliki tafadhali wasiliana nami

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbona inakuwa kama hirizi? Mwenyewe hajitokezo ng'o
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  ndo kwa mara ya kwanza niliona hii kitu ikiwa imedondoshwa na mjasiriamali mmoja maana sehemu nilipoikuta (kwenye kiti) walikuwepo wajasiriamali kadhaa.
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  watu bwana!! sijui humo ndani huwa wanaweka nini.
   
 5. driller

  driller JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wanawekewa wadudu..! halafu yale madudu yakiwa yanapumua wanaambiwa hirizi inapumua...! yani watu wanadanganywa kweli..!
   
 6. m

  mbweta JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kadondosha motor lazima ataitafuta
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Akili za kupewa changanya za kwako
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,485
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  ya rejao au nape
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hakuna la maana hapo. Huwa wanaweka majani majani na manyoya ya wanyama hata sungura...

  Ni upuuzi tu!
   
 10. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Naiomba mimi aisee, kuna demu ananisumbua sana......
   
 11. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahahahaaaaa!!!
  Hizo tulikuwa tunaziita capasitor
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahahahaaaa!!!
  Au ya ritz.
   
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  basi hao waliokuwepo hio situ ukienda kuwauliza,watakavyoruka kimanga???lol
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Hao wadudu si wataufa tu best
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  utachanganya madawa mkuu. kitu cha biashara hicho
   
 16. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Unakuta ni sista du mzuriii! lakini anamiliki hii kitu kwenye kipimajoto!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hii kutegemea na mazingira iliyoko imetoka mfuko wa suruali, tena wa kidume
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  KURANI na haja kubwa ya mijusi
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Nimeiboresha picha. kinga inaonekana kwa uzuri zaidi
   
 20. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  hirizi hiyo,
  wanadanganywa sana MKUU, si ajabu humo kilichowekwa kikawa majivu au mchanganyiko wa majani basi. halafu mhusika unaaminishwa kuwa itakusaidia, si ajabu moja ya sharti utakalopewa ni kufanya kazi kwa bidii. Ukifanikiwa unasahau bidii yako ktk kazi, unaisifu hirizi. Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya ndiye kinga yake
   
Loading...