Imeniuma mnooo ...

Imeniuma mnooo ...

Hapa nlipo nnamawazo, nipo kazini na siamini kilichotokea kama ni kweli. Mmmmmhhhh nashindwa hata kuendelea kusimulia maana macho yote yanabubujika machozi uuuhhhhhh iiiihhhhhh :crying::crying::crying::crying:

Yaani nimeumizwa moyo mnoo, sijui hata kama ntaweza kufanya kazi leo am so down!!!
Hakuna mtu mbaya kama mnafiki, ni zaidi ya muuaji, wanifanyia unafiki mtaani hadi kazini daaah!!!!
uuuhh moyo unauma jamani.......:crying::crying::crying::crying::crying:........
niombeeni tuu

jamaa amekupora ile VITS aliyokuhonga!!??
 
pole....yataisha tu...hayo maumivu ni swala la muda
 
dont give them a chance to destoy ur life Kasinde
act like a woman fight for ur riyt

muamin na Mtegemee MUNGU katika kipindi kigumu
pole sana best
 
Last edited by a moderator:
Kwakua umeamua kuandika humu basi tushirikishe zaidi tukuelewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Attention seeker, wewe lia tu.. It's good for your health.
 
Nenda nyumbani, kalieeeee mpaka mbavu ziume, hapo utakuwa mpya na nguvu mpya!
 
Wala haeleweki
Utadhani mziki wa lingala wao makelele tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom