Imeniuma mnooo ...

Imeniuma mnooo ...

Hayo ya kawaida vumilia ila kama una mambo yasiofaa kwa jamii nakushauri ujirekebishe.
 
Wapigie kina Gea Habibu uwape huo mcharuko hapa si sehemu yake
 
Hii tabia ya kuanza kulalamika upate sympathy za watu alafu tatizo unakuja kulielezea mwisho sio nzuri once unapokuwa na tatizo lieleze toka mwanzo uweze kupata msaada, ila sikulaumu nina wasiwasi na umri wako.


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Amesema tumuombee! Ngoja nikaazime joho kwa mama Makinda nitarejea punde kwa ajili ya maombi kwa Kasinde
 
Last edited by a moderator:
JF katika jina la MMU,

Namleta mbele yako Kasinde mtaalam wa clashes,
Ninaomba JF umfungue mtaalam huyu kwa jina la mwanao MMU,
Ili aweze kueleza/kufunguka/kutiririka juu ya hao wamfanyiao unafiki mtaani hadi kazini,
Yawezekana wanatamani sana baba JF clashes za mtumishi wako mtiifu kwa vibamia,
Wewe ndiye pekee unayeweza kushughulika nao, lakini si kwa ajili ya kisasi maana kisasi hakitampa furaha bali maumivu,
Umjaalie mwanao huyu furaha na amani katika mwisho wa wiki huu ili aendelee kuwa wa faraja kwa thithi wenye vibamia,
Asahau kabisa wale walioficha vimiguu vya watoto katika sarawili sao maana nao bado wanamtazama kwa jicho la husda memba wako huyu na si ajabu ndio hao bado wanatafuta clashes naye!

Si vema JF kuleta maombi marefu mbele zako maana ni wengi waletao mada zao kwako hata za kitoto na zisizostahiki katika jukwaa hili, nahitimisha na soote tusemeee ...............!
 
Jinyonge na wew leo tupate pa kulala watoto wa mbwa kama yule jamaa anayetka kujinyonga kwa kukosa kazi tang 2008!
 
Wanafki walikuwa tangu enzi ya Adam na Hawa, kinachotakiwa hasa ni kujifunza jinsi yakuishi nao. La sivyo utaaga mapema.
 
Pole kwa yaliyokusibu mama....Maisha yana kupanda na kushuka...vumilia utakuwa sawa na muda tu...Wfitini wapo kila mahali....watu wanacheka na wewe lkn ndo maadui zako...
 
Hapa nlipo nnamawazo, nipo kazini na siamini kilichotokea kama ni kweli. Mmmmmhhhh nashindwa hata kuendelea kusimulia maana macho yote yanabubujika machozi uuuhhhhhh iiiihhhhhh :crying::crying::crying::crying:

Yaani nimeumizwa moyo mnoo, sijui hata kama ntaweza kufanya kazi leo am so down!!!
Hakuna mtu mbaya kama mnafiki, ni zaidi ya muuaji, wanifanyia unafiki mtaani hadi kazini daaah!!!!
uuuhh moyo unauma jamani.......:crying::crying::crying::crying::crying:........
niombeeni tuu

Wanawake wengine bwana! Sooo melodramatic! Sasa wewe kama msomi unayeweza kushika keyboard tunakusaidiaje kwa ulichokiandika?
Haya ngoja na sisi tuigize;
Pole mwaya mtoto mzuri ee! usijali wala kuwasikiliza wanakuonea wivu tu mafanikio na uzuri wako. Watachoka wenyewe ukiwanyamazia. Feel better!
 
Mwenyenyumba kakusaidia ukae miezi 2 bure tafuta kwingine masuala ya majungu kazini yapo tu hata watu weupe nao huwa wanaaribiana we piga kazi zako zinazokuhusu na upunguze stori za umbeya kazini.

Sikujua kuwa watu hawanipendi kiasi hiki, wamenifitini mtani ninakokaa na kazini. Yaani wamemtafuta mwenyenyumba yangu nilikopanga na kumjaza maneno ya uongo, mwenye nyumba kaja leo alfajiri kaniambia nitafute nyumba kwingine baada ya miezi 3 nimrudishie nyumba yake, Akaondoka kodi yangu ilikuwa inaisha mwezi ujao hapa nilikuwa najipanga nimpelekee kodi ndo haya yamenifika. Nawaza jinsi ilivotabu kupata nyumba inayokidhi viwango......
Kufika kazini nikiwa na mawazo kibao nikaitwa na bosi daaah, nimepewa lawama za uongo si mimi niliyefanya hayo nikajaribu kumueleza bosi kuwa hayo ni makosa ya secretary na watu wa idara ingine bosi kamaka na kusema ripoti zote zinaonesha mimi ndo nimesababisha ofc ikakosa hiyo tenda na hivo kusababishia kampuni loss. Daaah nimeumia na nimevunjika moyo wa kufanya kazi mnoo.
 
JF katika jina la MMU,

Namleta mbele yako Kasinde mtaalam wa clashes,
Ninaomba JF umfungue mtaalam huyu kwa jina la mwanao MMU,
Ili aweze kueleza/kufunguka/kutiririka juu ya hao wamfanyiao unafiki mtaani hadi kazini,
Yawezekana wanatamani sana baba JF clashes za mtumishi wako mtiifu kwa vibamia,
Wewe ndiye pekee unayeweza kushughulika nao, lakini si kwa ajili ya kisasi maana kisasi hakitampa furaha bali maumivu,
Umjaalie mwanao huyu furaha na amani katika mwisho wa wiki huu ili aendelee kuwa wa faraja kwa thithi wenye vibamia,
Asahau kabisa wale walioficha vimiguu vya watoto katika sarawili sao maana nao bado wanamtazama kwa jicho la husda memba wako huyu na si ajabu ndio hao bado wanatafuta clashes naye!

Si vema JF kuleta maombi marefu mbele zako maana ni wengi waletao mada zao kwako hata za kitoto na zisizostahiki katika jukwaa hili, nahitimisha na soote tusemeee ...............!

Lol....
 
Yani hutakiwi kumuonyesha mbaya wako kama umeumia,ukienda job kua ngangari,ukifika home jifungie ulie hasira ziishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom