.....imempenda ...hata mama yangu mzazi naye!

Hivi wewe una umrii gani?

Unauzwa live kabisa...Aisay boi friend wako kapata bahati kupata demu kama wewe.

Yani hata akipenda demu mwingine ni kiasi cha kukudanganya tu kama hivi; Yule mwanamke umeniona naye, anamashetani na yale mashetani yake bila kwenda kulala naye basi yatamsubua sana....Wewe utakasirika tu lakini huna noma.

Hebu chukulia huu mfano mdogo sana, akitokea mme ambaye ana mke wake, na mke wake ana mimba.

Huyo mwanaume aje mwambia boi friend wako hivi; Toka mke wake kabeba mimba, basi kampenda sana gf wake(Ambaye ni wewe) na hawezi kulala mpaa gf wake aende kulala kwa huyo mwanaume...BF wako atasema nini.

Pole sana aisay.
 
Piga marufuku huyo mama
hadi saa hi unachekacheka tu
Banana na bf wako, usikubali aende

Wajawazito na hormone zao hakawii kumlilia ananii sijui nini
Akili kumkichwa hapo

Martina una visa wewe!!
Hukujisikia vibaya kuhusu ile ishu ya dada?
nacheka kivipi???naumia usitake kunizidishia maumivu
ishu ya dada???siikumbuki nikumbushe
 
Hivi wewe una umrii gani?

Unauzwa live kabisa...Aisay boi friend wako kapata bahati kupata demu kama wewe.

Yani hata akipenda demu mwingine ni kiasi cha kukudanganya tu kama hivi; Yule mwanamke umeniona naye, anamashetani na yale mashetani yake bila kwenda kulala naye basi yatamsubua sana....Wewe utakasirika tu lakini huna noma.

Hebu chukulia huu mfano mdogo sana, akitokea mme ambaye ana mke wake, na mke wake ana mimba.

Huyo mwanaume aje mwambia boi friend wako hivi; Toka mke wake kabeba mimba, basi kampenda sana gf wake(Ambaye ni wewe) na hawezi kulala mpaa gf wake aende kulala kwake...BF wako atasema nini.

Pole sana aisay.
hii wikiend lazima nikaanzishe ugomvi sikubali tena
 
Unajua wengi wana watoto ila hawana waume a.k.a mwanaume wa only kuzaa
nipo kwenye wakati mgumu sana kuvumila huu UPUUZI.
Sjawai beba mimba ila sikubaliani na mambo ya mimba IMEMPENDA

Ongea na boifriend wako black n white..usivunge my sista,ukiona jamaa bado hajisomi then mfuate huyo mama mwambie unavyokerwa na hicho kisingizio. Usiposema,anaweza akakunyang'anya tonge hivi hivi unatazama halafu usiamini kilichotokea!
 
Mh!Angalia maana wanaume sisi tuna visa!Anaweza kudo hivihivi!
 
Ongea na boifriend wako black n white..usivunge my sista,ukiona jamaa bado hajisomi then mfuate huyo mama mwambie unavyokerwa na hicho kisingizio. Usiposema,anaweza akakunyang'anya tonge hivi hivi unatazama halafu usiamini kilichotokea!
**** wamama wamenishauri nisubiri miezi tisa tu yataisha.
sasa hapo nione tena visingizio vya maziwa hayatoki bila kukuona/kula pamoja
 
Maria, mimi naomba kuuliza: huyo BF wako, yeye anaichukuliaje hiyo issue??!! Au akiitwa na yeye huenda ila mama wa watu ale??!! MHHHH...duniani kuna mambo kweli???!!! Anahitaji maombi huyo mama, ili huyo pepo mchafu amtoke.
 
Jamani mbona huyo mmama ana hila hivyo?
Yani mimba apewe na mtu mwingine ajidai imempenda mtu mwingine!!!!!
Bidada hapo mulika mwizi kwa tochi ya mwanga mkali,
Kwan huyo bf asimdanganye km kasafiri then ndio ampotezee mazima?
 
hii wikiend lazima nikaanzishe ugomvi sikubali tena
Usianzishe ugomvi wewe, siku hizi nani anazisha ugomvi wa kijinga.

Wewe tafuta kakijana kamejaza jaza kifua...Afu nenda nako mpaa kwa boi friend wako...Useme hivi; Haka kakijana kana ugonjwa wa kupenda, kasipo niona hakana raha hasa time za usiku.

Au mwambie hivi; Mimi sina noma ukienda kwa yule mama mwenye mimba inayo kupenda....Lakini unapo kwenda kwa yule mama time za usiku, lazima haka kakijana kalale kwangu, mana naogopa kubaki usiku peke yangu.

Afu njoo unipe hint sawa...nice day babe.
 
Maria, mimi naomba kuuliza: huyo BF wako, yeye anaichukuliaje hiyo issue??!! Au akiitwa na yeye huenda ila mama wa watu ale??!! MHHHH...duniani kuna mambo kweli???!!! Anahitaji maombi huyo mama, ili huyo pepo mchafu amtoke.
nimekumiss sana
maswali mengine siwezi kunyajibu manake naona kama huyu mama-bf wanaleta ukinyaa
 
nimekumiss sana
maswali mengine siwezi kunyajibu manake naona kama huyu mama-bf wanaleta ukinyaa

Unajua unaweza kufanya nini. . . .
We mwambie wala hamna shida, mwache aendelee kukupenda tu. Ila kila ukienda kwake ntakua nakusindikiza, boyfriend akikubali unajua hana hila. Mnaongozana kama mara nne hivi, kama huyo mama ana lake jambo utaona kama hatoacha kumuita.
 
usishangae akisema mimba inamchukia maria kwa iyo bf aje peke yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom