Imekuwaje Tcra na wasafi fm.

Imekuwaje Tcra na wasafi fm.

Sio kwamba radio ikichelewa kufika sehemu kama dar ni lazma ipewe frequency ya mwisho ni hapana ,,issue iliyopo unaweza kupewa frequency iliyopo sehemu yeyote mwanzo au mwisho na wanahakikisha hiyo frequency haitakuwa na muingiliano na frequency yeyote na hiyo frequency waliyopewa yawezekana ilikuwa ipo free muda mrefu au ilikuwa inatumika na radio fulan lakin hiyo radio haipo na sasa wamepewa majamaa
 
Kwakweli nimeshindwa kuelewa nini kimetokea Kati ya Tcra na wasafi crue/wasafi fm,maana redio nyingi hapo nyuma kidogo na karibuni zimekuwa zikipewa frequency za mwishoni kabisa katika jiji la dsm na pwani,kuna radio nyingine zimehangaika Sana kufika dar kutoka mikoani zinapata tabu Sana hadi leo,zingine zimepewa code za mwishoni kabisa,lakini wasafi wameingia tu wamepewa code nzuri ya mwanzoni 88.9 mhz dar.sasa apo ndio tunapata wasiwasi iweje wao wamepata io nzuri na wengine walibaniwa?je walishindwa bei ya code za mwanzo au hizo code zipo kulingana na category ya station au kuna nn behind the scene?,but hongera kwao WCB kwa kupata code hio nzuri.
Embu ndugu mtaalam wetu tumbie frequency za FM Tz zinaanzia ngapi hadi ngapi?
 
Mtoa maada alikuwa na wazo zuri tu, sema hapa naona wengi wetu tupo kimazoea, kila jambo likisemwa hisia za chuki huja kwa haraka sana....
Ni hivi radio nyingi hasa za magari huishia 90.00mhz,ndio maana hapo mwanzo tbc ilikuwa 95.00 ikarudishwa 90.00, rfa ilikuwa 98.5 Kwa dsm huku kiss FM ikiwa 89.00,lakini uongozi wa Sahara media ukaona mahitaji ya radio free Ni makubwa Kwa dsm kuliko kiss, ndio maana ukaswitch kwenye frequency za kiss FM wakaweka radio free na kwenye radio free wakaweka kiss fm(kwa dsm lakini)
Hata kuna kipindi Fulani wakati efm wanaanza, kwenye promotion zao ulikuwa ukienda na gari kuna kifaa walikuwa wanakufungia kwenye radio chenye mwendelezo wa frequency mpk 108 mhz.... Ndio maana mleta maada ameshangaa inawezekana vp Kwa radio changa ya wasafi ikapata frequency za mwanzoni kabisa wakati kuna radio station Kama efm, am24,sibuka,hazijapata
 
Mfano hapo kuna radio za zaman sana ila zipo kwenye frequency 100+
Screenshot_20181106-182317.jpeg
Screenshot_20181106-182411.jpeg
 
Back
Top Bottom